Viwanja vinauzwa, Malimbe,Sweya Jijini Mwanza, umbali wa Nusu Kilomita kutoka SAUT University. Vipo ziwani (ziwa Victoria) ni low Density, viwanja hivyo ni namba 95 na 96 kama vinavyoonyeshwa...
Tunauza machine za kutolea risiti za EFD za TRA kwa bei poa kabisa na ubora wa hali ya juu,
huna haja ya kuhaingaika tena, sasa tutakuletea machine ya tra popote ulipo tanzania pale unapohitaji...
Sisi ni wauzaji wa seat cover gari aina zote,vile vile tunauza alarm za kuzuia wezi za gari,stika mbali mbali,cushion,parking sensor,shedi za gari zote,mud flap.nk
vile vile wa dar...
Hello ladies and Gents kwa yeyote anayeuza line ya uwakala wa tigo-pesa na m-pesa anipm no yake na price
nahitaji sana hizo line,matapeli kaeni mbali tafadhali,natanguliza shukrani
Mambo vp? Ninauza simu Aina ya Nokia x2-01 single line, supporting whatsapp, Facebook, twitter na application nyingine nyingi. Iko kwenye condition na Haina tatizo lolote. Bei ni 135,000, iPod...
Ipo katika hali nzuri, imetumika muda wa miaka miwili, engine two stroke,imesajiliwa na inapiga mzigo vizuri.Serious buyers PM.Picha zipo hapo chini, ipo kinondoni studio.
chumba na sebule kinapangishwa maeneo ya tabata kimanga kiko karibu na stendi pia kodi yake nafuu ni sh.60,000 kwa mwezi na kodi inalipwa kwa miezi 6 nicheki kwa 0717 022737
kiwanja kinauzwa mbezi ya kimara mwisho maeneo ya kwembe chenye ukubwa wa hatua 50 kwa 40...kinauzwa kwa bei ya millioni 17 pia kuna maelewano. Piga namba 0717 022737 kwa serious buyer..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.