Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wadau,naomba kujua sehemu ambayo ntapata nguo za kike za mtumba(quality).nahitaji kufanya biashara,napatikana morogoro.asanteni wadau.
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Kwa yeyote mwenye kufahamu namna navyoweza kuwapata wauzaji wa printer kubwa za konica minolta kule dubai. Nimetafuta kwa internet nimeshindwa kupata contact zozote. Msaada na namna ya kufika dubai.
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Viwanja vinauzwa Makabe maeneo ya Mbezi road viko karibu kabisa na Barabara na barabara inafika mpaka kwenye viwanja vyote,vyote vina ukubwa wa 20X35 na bei ya kila kimoja ni mil.13,kwa mwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
General Network 2G : GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G : HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 Announced 2012, 1Q Processor Dual-core 1 GHz Cortex-A9 SAR Rating Color Available Black Size Dimensions (mm)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Motherboard ya dell inspiron 1526, inaingiliana na ya 1525, 1530, 1545. Mwenye aina yoyote anijuze tufanye biashara.nawatakia shughuli njema.
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Ndugu wadau napenda kuulizia bei ya hiace dungu ikiwa used japan hadi kuifikisha tz na kulipia kila kitu inaweza kugharimu kiasi gani? Nitawashukuru wote mtaonipatia taarifa coz nataka kubiashara hii.
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Nauza Plot ya ukubwa wa mita 40 kwa 30 Kibada kwa Milioni 3.5. Haina hati, mwenye kuhitaji ani PM tafadhali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunatengeneza software kwa ajili ya management ya biashara yako mfano :- Payrol software,School management system,hotel management,accounts software and may more software according to customer...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kuna mtu Ana miliki magari ya namna hiyo( Lexus,Noah,Rav4 hata kama Una Prado) nataka tubadilishane kwa gari yangu aina ya Nadia na pia nakupatia na hela kadhaa. Lexus(Nadia na 3M) Noah...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Nahitaji noah ya mwaka 2002 rangi nyeusi.
0 Reactions
2 Replies
863 Views
https://www.facebook.com/mialikotz?fref=ts
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Nimemaliza kumwaga zege. Nina mirunda 700 (bei @ 1,500) Marin Board 65 (bei @ 40,000) Mpya zimebaki 5 ambazo naziuza kwa (@ tshs 50,000) na Mbao za 4x2, 6x2 na 10x1 nyingi). zote zimetumika mara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza Toyota Altezza Gita milion 12 namba CLL rangi ya silver ina week toka itoke bandarini, na pia ina mziki wa thamani ya milion moja Unaplay DVD... Call 065314 Stanley, Dar es salaam
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Nilikuwa naitumia ila sahivi nataka kusitisha kufanya hii biashara kutokana na kuwa bize na biashara nyingine,napatikana Tegeta.Anayehitaji ani-PM tuongee biashara
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF Mimi nina mzungu mmoja ananunua copper ore (mawe yenye copper) kutoka kwa wachimbaji wadogo popote pale tanzania. Kama mtu anachimba copper au anamfahamu mtu anayechimba copper...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Android tablet yenye inchi saba inatumia android application, ina microsoft office installed, viber, watsapp, facebook na pia inatumia WIFI, pamoja na simcard. bado mpya imetumika kwa wiki mbili...
0 Reactions
2 Replies
897 Views
Kiwanja kinauzwa Mbezi Masana unaingia ndani 3km kina title D na ni hekari mbili na kina nyumba ya vumba 5 aijamalizika bado milango na madirisha na kupiga plasta (Finishing tu imebaki) sehemu ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kinyerezi kipo eneo zuri na barabara ya gar ipo .kinaukubwa wa mita 20 kwa 24.ni pm kwa maelezo zaidi
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ina vyumba vitatu vya kulala, sebure, jiko na dinning. Kodi shs 250,000 kwa mwezi. Kwa ajiri ya kuiona tuwasiliane kupitia simu namba 0717114409
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nyumba zipo kibamba kwa mangi ni dakika kumi kutoka kituo cha daladala,ni nyumba mbili ambazo hazijawahi kupangisha kwa maana nyengine ni mpya kabisa. 1.Nyumba ya kwanza ina vyumba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom