T-mobile my touch slide 4G kama inavyoonekana kwenye picha inauzwa kwa sh 600,000.
Bidhaa ni mpya kabisa kwenye box lake.
Kama upo interested tafadhali ni PM.
Nipo dar
-Ni 4stroke (bajabi nzuri kuliko 2stroke, na TVS, )
-ipo katka hali nzuri kabisa, inafanya kazi kwa maintanance
ya bajaj mpya (kumwaga oil na vispea vidogo vidogo)
-Ipo dar es salaa.
-Inji na...
Vipo vitano vimepimwa na vina hati miliki. Kila kimoja kina ukubwa wa mita za mraba 1200. Bei 12mil kwa kimoja.
Huduma ya umeme ipo karibu. Viwanja vipo umbali wa kilomita 12 kutoka feri. Karibu...
:A S 465:Ile ofa ya kukupa wewe 10% ya malipo yatakayotokana na kuleta kazi ya website (YAKO au ya MTU mwingine) bado inaendelea. Ahsante kwa wanao respond na ambao wameleta proposal zao...
iwe na vyumba vitatu vya kulala kimoja kiwa master,iwe na uzio, pia parking ya gari ya kutosha. iwe maeneo ya ubungo, kimara mwisho mbezi.
bei yake isizidi laki tatu kwa mwezi
ninahitaji haraka...
nyumba iwe na master pamoja na vyumba viwili vya kulala, sebule kubwa dining, parking ya gari na iwe ndani ya uzio. iwe maeneo ya kuanzia ubungo kufuata moro road mwisho mbezi.
bei isizidi laki...
kama unataka gari kwa bei poa inawezekana utaangalia minada ya magari live kupitia kwenye kifaa maalumu nilichokujanacho kutoka Japan,utaweza ku-bid gari wewe nyewe kupitia computer iliofungiwa...
:A S 465: Jaman kwa mtu atakayenipa dili la website nitengeneze atapata 10% baada ya malipo. Asilimia zinaweza ongezeka kutokana na dili lenyewe. Kama uko tayari nitumie email...
iko ktk hali nzuri sana ni screen touch inakaa na chaji siku nne, ina bluetooth, camera 3mgpxl n.k.
bei laki mbili. pia naweza kubadilishana na nokia n73. contact :0714-408238, 0759-401230.
Natafuta tractor la kulima shamba la ukubwa wa ekari 25, shamba lipo wilaya ya Kisarawe, kupitia njia ya Chanika.
Tafadhali kama unalo au unajua mtu mwenye biashara hiyo naomba mawasiliano nao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.