Wakuu kama unafaham mtu yeyote anapangisha nyumba hapa jijini Dar es Salaam
naomba nipatie contacts.. nyumba inahitajika kwa ajili ya kupangisha..iwe ni kati ya Tsh150,000/- na Tsh 250,000/-...
It is situated at Mbezi Beach in Kinondoni Municipality not very far under construction the new Bagamoyo Road. The House has 4 big bedroom, the far most big one is the master suite with which has...
Kiwanja kizuri kabisa kina 2219sq mtr, bei yangu ni 4000 kwa sqmt moja, so ni 8,876,000. Nauza bei hii kwasababu nimeshakiendeleza, nimekisafisha vizuri, nimezungushia nguzo za zege kiwanja...
Tafadhali kwa ambaye anafahamu, hivi Suzuki Escudo old model za miaka ya 199...katika showrooms za hapa bongo naweza kupata kwa bei gani?
naombeni msaada wa mawazo pia kuhusu chaguo langu hilo.
Mimi ni kijana wa kitanzania..nimejaaliwa kuwa na kipaji cha utunzi na uandishi wa riwaya..
Hadi sasa nimeishatunga riwaya nne kali..
Bahati mbaya 2 kuna mtu alijitolea kunisaidia lakini baadae...
Dell Latitude E6400
Intel Core Duo 2.6GHz/4GB RAM/200GB Hard disk/BTooth/Loaded with all Microsoft basic software/Windows XP/Wndows 7/DVDRW/15" screen others -standard.
1 month warranty!
email to...
Pole kaka!! lakini kwa ushauri tu!! gari nyingi za kisasa especially mercedes, zina driving computer!! kama gari ina tatizo dash board inasema service!! ukienda kwa fundi mwenye ujuzi computer...
Nauza Acer Aspire 5741Z Laptop Tsh 750,000,nimetumia miezi 5 tuu toka inunuliwe dukani UK. Kwa anayehitaji nipigie/sms kupitia Tel 0786 585 490
Specs zake
Product Type Notebook
Hard Drive...
By Nova Kambota,
Dar es salaam, Thursday 20, October 2011
The Tanzanian Gospel Singer Flora Mbasha is expected to launch her own Blog in few days to come. The report from Mr. Emmanuel Mbasha who...
Heshima iwe juu yenu wakubwa.
Nyumba ya kupanga inahitajika maeneo ya Uwanja wa Taifa ama maeneo yazungukayo eneo hili. Nyumba iwe ya vyumba viwili (bed rooms), sitting room, jiko, na choo...
Original HP 8,100
Intel Duo core 3.2Ghz /2GB RAM/300GB HDD/DVRW/17" monitor.
Brand new in a box at an unbelievable offer of 625,000TShs.
With 1 yr warranty at an additional small fee.
write to...
Habari wakuu, nina computer yangu aina ya dell naiuza Tsh. 460,000/=
~ AINA YA COMPUTER NI DELL LATITUDE D630
~ RAM 1 GB, 80HDD, INTEL(R) CORE(TM) 2DUO CPU T2750 @2.0GHz, 32-Bit Operating system...
Habari njema kwa watanzania,viwanja vinauzwa maeneo ya kipawa mpya mbele kidogo ya kigogo fresh waliko hamishiwa watu waliokuwa wnaishi kipawa na kigilagila,vimepimwa. Bei hadi milioni 6,kwa wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.