Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
unaweza kuitumia kama modem ukiwa na cable yake na pc suite kwny computer yako.... Iko poa internet 3.5g..... Ni pm...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF nauza flat screen ya dell inch 15, sory sikuweza kuweka picha.. Price 150000 kwa anaehitaji tuwasiliane 0715-321662
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nina Daihatsu rocky ninauza bei maelewano body iko katika hali nzurii na rimu kali. Kwa mawasiliano 0719 731315/0786 544788
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heey jf members i need to exchange my blackerry curve 8520 with iphone or htc,......... if u ar interested drop me a pm thn we will negotiate...
0 Reactions
2 Replies
987 Views
wakuu heshima zenu, natafuta camera tajwa hapo juu kwa ajili ya shughuli zangu, tafadhali mwenye nayo hata kama ni used lakini iwe kwenye hali nzuri anichek kupitia 713400763. kazi njema!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nissan patrol inauzwa Features SGL 3.0 Di, Manual transmission,ya mwaka 2001, Service history CFAO/DT DOBIE, imetembea kilometres 80,000. Iko katika hali nzuri sana Bei ni TSH 38,000,000...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inahitajika iwe katika hali nzuri,aliyenayo aniPM!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba ya kupanga yenye vyumba 3 inahitajika maeneo ya kinondoni,makumbusho,mbezi beach,mikocheni,kijitonyama au sinza wasiliana na 0754552128
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta engine ya subaru forester isiyokua na turbo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa yeyoye mwenye kuhitaji kupangisha hiyo nyumba anipm kwa maelekezo zaidi ni nyumba ya vyumba vinne, ina sitting room kubwa, jiko na choo cha ndani, pia na cha nje. maeneo ni tabata mawenzi.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nyumba ya kupangisha inahitajika mwishoni mwa mwezi huu....iwe na vyumba vitatu au viwili vya kulala... maeneo ya tabata, sinza, mwananyamala, kinondoni,.... kodi:250000 - 300000/- kwa mwezi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
ina window 7 32bits, Duo cuo processor, inbuilt with bluetooth, wifi, internalcellural phone, RAM 1GB, HDD 80GB, battery charge up to 0130hrs. Bei shs 380,000 only niko kawe dar, call me 0717 312184
0 Reactions
0 Replies
935 Views
hp pavilion dv2000,160GB HARD DISK,512RAM,DUAL PROCESSOR ,WEBCAM,BLUETOOTH 450000TSH,CALL 0652133206
0 Reactions
3 Replies
810 Views
Ni pm nitakusaidia!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
dell latitude D600,40GB HARD DISK,1GB RAM,1.9GMZ PROCESSOR 350000TSH CALL 0652133206
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello wadau wa jf, natafuta laptop used lakini iliyo kwenye hali nzuri, nipo Dar naomba kama kuna duka sehemu zinauzwa mnishauri nawakilisha Mpiganaji kinondoni.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
IPHONE 4 na PLAYSTATION 2 mpya zinauzwa bei nafuu sana. Ukihitaji tuwasiliane kwa namba 0656247324
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza subwoofer brand ya edifier mpya. pia kuna used ya sony with 5 small speakers. mali ipo tanga mjini. cell. 0787 103846
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Blackberry curve 8520 280000 blackberry bold 9000 320000 good condition.......
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau natafuta vyumba viwili na sebule vya kuishi mitaa ya kinondoni Ada estate,manyanya,biafra.Mwenye kujua vinapatikana please anipe namba yake ya sim hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom