Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Tafadhari rejea tena katika topic tajwa hapo juu. Ninauza piki piki yangu aina: SanLg toleo la kwanza iko katika mazingira na hali nzuri. Imetumika Miezi miwili na nusu tu matumizi ya kawainda...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Hello JF, Sasa taa ya ajabu inachaji Simu pia!! Haitumii Betri Haitumii umeme wa jua Haitumii Mafuta ya Taa/Petroli/Dieseli Waranti ya mwaka mmoja kwa kila manunuzi. Ndogo na inabebeka Crank...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ninauza Laptop DELL XPS M1330 2GB RAM 130GB Hard Drive CD/DVD Writer Windows Vista Business Microsoft Office 2007 TShs 450,000.00 Nauza pamoja na modem ya Vodacom. Nimekuwa nayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunahitaji kiwanja maeneo ya Mbweni au Boko. Call Number: 0715 29 2731 Dalali hatakiwi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafadhari wakuu mwenye kuwa na habari au kuwa nacho ani PM, Sifa kiwe karibu na ofisi, au shule! Tafadhari wakuu naomba msaada wenu!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu rejeeni somo tangulizi hapo juu mimi ninauza Pikipiki yangu aina ya CT 100 Bajaj ipo kwenye hali nzuri lengo ni kuachana na matumizi ya pkpk hivyo nipo tayari kwa mazungumzo wasiliana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nyumba iliyopo Mbezi Luisi karibu na Mbezi High School inapangishwa. Nyumba ina Sebule, chumba cha kulala na stoo. Kodi ni shilingi 100,000/= kwa mwezi. Malipo ni kwa mwaka. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndg zanga jana nilikwenda Mlimani City nikapaki gari yangu pale na kuacha baadhi ya vitu ndani ya gari kama laptop na hard disk GB 500 ikiwa na mambo muhimu sana kwa bahati mbaya nikaingia ndani...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
wakuu poleni na majukumu mazito ya kujenga nchi kupitia P.A.Y.E! Mimi ninatafuta DCM isiwe imechoka sana, mwenye nayo anaweza kuni-pm. all the best!
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ninahitaji Toyota Kluger Ikipatatikana ya 2002-2003 sio mbaya...Nina budget ya 20M Tsh. Mwenye ujuzi naweza pata wapi ani PM....Naweza ongeza ikafika 21M...Kama budget hiyo ni ndogo. Buswelu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Toyota Rav4,1999 year of manufacture 3s FE engine 1988cc register in 2009 one owner. full loaded AC,sports Rim,Silver color, 112,000km 5doors,CD radio kenwood and nice speakers. price 9.5M...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
gari nauza aina Subaru Forester Year 1999, Km 105,000, 2.0cc, 4WD, Automatic, Turbocharge, good condition, small scruch and dent, kutoka Japan ilikua na KM88,000 so, almost 15000km nimetumia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Bajeti shs 400,000 pia ukiwa na vifaa vingine vya secretalial services tuwasiliane kupitia O784225000
0 Reactions
8 Replies
5K Views
habari ya subuhu wanajamii wenzangu! Naomba mnisaidie mawazo, je nyumba yenye thaman ya mil 40, unaweza ukapata mkopo wa kiasi gani bank kwa kutumia hati kama security!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Silver 1999 petrol engine 1zz 179Occ 41231km. Price 7mil For more infortation call 0717114409
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji Toyota Rav 4 ya 2004 nakuendelea au Sizuki Grand Vitara ya 2005 nakuendelea, not more than 100,000 kms. Budget: 13,000,000 tsh
0 Reactions
60 Replies
12K Views
1kz injini 1997 na kuendelea. Kama unayo piga simu 0717114409
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watanzania mlio Dodoma kama una nyumba unapangisha maeneo ya Area C au D dodoma please usichelewe! Sifa za nyumba 1. Kuanzia vyumba vitatu 2. Maji na umeme viwepo 3. fee kati ya laki 2 hadi 3. 4...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama tangazo linavyo jieleza mwenye mali iliyoko katika hali nzuri jamani ani PM fasta.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF wenzangu, Kama kuna muhitaji wa shamba enel la ekari moja liko Kibaha Karibu nakwa Mathias, lina michungwa michache na miti kadhaa ya mitiki. Maji ya bomba kuu hupitia mpakano mwake, liko...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom