Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wapendwa napenda kutoa pole kwa nduguwa ndugu yetu alietutoka majuzi uko india akiwa matibabu bw osiah rajabu..ni jiran yangu kijana aliekutana na miale ama mapigo ya dunia akiwa mdogo sana ndan...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1kz injini milango mitano model ya 97 na kuendelea. Unayo piga simu 0717114409
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau inahitajika Yard ya kuuzia magari( car show room) yenye uwezo wa kuhifadhi magari yasiyopungua 200. Pia iwe pembeni ya main roads ili bidhaa zionekane kiurahisi kwa watu wanaotumia barabara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Iwe na vyumba viwili self contained iwe maeneo ya sinza,ubungo,mwenge,bajeti 250,000 mawasiliano 0717114409
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Nyumba iliyopo Mbezi Luisi karibu na Mbezi High School njia ya kuelekea Mpiji Magoe inapangishwa. Ipo kilomita moja kutoka barabara ya Morogoro. Nyumba ina sebule, chumba cha kulala, stoo ndogo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Kiwanja kinauzwa hekari Moja 70x70 - kina hati kamili. Kipo Gongolamboto - Bei Maelewano. Ndani ya eleo hili kuna nyumba ya vyumba 4 self contained, fanya haraka.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
emachine.ram1gb,procesor1.6,hard disc160./ sumsung.ram2gb,procesor2.0,hdd260.zote mpya.bei 430000tsh.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
RANGI NYEUSI CHOGO NDOGO MODEL TYPE:CS-29Z50MH TYOE: KS7C29Z50 (UNAWEZA KU GOOGLE/BING KUPATA MAELEZO NA PICHA ZAKE) PICHA CHACHE NIMEATTACH HAIJAWAHI KWENDA KWA FUNDI WALA KUFUNGULIWA...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Blackberry 9780 new model, brand new with box going for only $550 white colour. Contact alidewji_fd@hotmail.com.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Iwe katika hali nzuri ( Haijawai kupata ajari, Ac iwe inafanya kazi n.k). Bajeti yangu tshs 5mil. Ikiwa unayo piga simu 0784225000 au 0717114409.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtaa wa kizingo jirani na bar ya neiba ndogo, vyumba 4 sebule na toilets, bei laki mbili. kwa maelezo zaidi piga namba 0717778556 mwenye nyumba.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Iwe maeneo ya Masaki au Osterbay.Iwe na vyumba vinne Isiwe katika gorofa lenye msongamano wa aprtments nyingi.Bajeti USD 250,000/ Kwa mawasiliano piga simu 0784225000
0 Reactions
1 Replies
927 Views
inauzwa hii simu ipo fresh Haina camera lakini ni nzuri kwa kutuma emails na ina local area connection... u can google it for more information bei 300,000 cash contacts:send me a pvt...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, Naombeni msaada na mnishauri, Nataka Kununua Gari ktk Survey yangu nimekuta gari mbili, Ya kwanza CIF 6790 ni gari ya Mwaka 1998 Ya pili ni CIF USD 9800 ni gari ya mwaka 2002...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pikipiki aina ya YAMAHA XT cc250 nimefunga Engene ya Honda cc250.inahali nzuri kabisa.Bei Tsh1800,000/-
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Ninauza kiwanja changu kipo madale ni robo heka kimezungushiwa michongoma ni karibu na kwa Kawawa kinafikika kiurahisi lakini hakijapimwa bei milioni 5.5 kuna mazungumzo nauza kwa sababu nina...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna plots takriban 20 ziko sokoni na nyumba moja ya ghorofa vinauzwa Dar kama ifuatavyo:- 1. Viwanja vya makazi 20 viko Madale kwa Kawawa (vina offer); bei ni kuanzia Tsh 5-50 million 2. 1...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
wanajamii nina shida ya nyumba au kiwanja ambacho kinauzwa maeneo ya sahare tanga mjini kwa yoyote mwenye info au yeye mwenyewe anauza please ni PM.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wale wataalam wa ku import magari kutoka japan/dubai nikihitaji escudo used from japana or dubai itanicost how much hadi kuwa barabarani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom