Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
INVITATION TO TENDER NO. TP/04/2024/NCB/S/011 SUPPLY AND INSTALLATION OF IT INFRASTRUCTURE AND DISASTER RECOVERY PLAN OFF SITE Tanzania International Petroleum Reserves Co Ltd (TIPER)isa bulk...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Procurement Of Consulting Services-Individual WorldVeg is looking for a consultant to assist with business development in Africa. Applicants are invited to submit: A cover letter explaining: o...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
BBC MEDIA ACTION JOB DESCRIPTION Location: Tanzania Job title: Senior producer, social media Reports to: Head of production Duration...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.JA.9/259/01/A/517 VACANCY ANNOUNCEMENT 1.0 BACKGROUND INFORMATION On behalf of Water...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Wadogo zangu wakike na wakiume. Naomba niwashauri kitu kimoja tu siku ya leo. Kama ukipata kazi nchi za uarabuni basi ni nchi mbili tu ndio bora, salama na mishahara mizuri. DUBAI na QATAR hizi...
33 Reactions
469 Replies
92K Views
Habari wadau, naomba kufahamu mshahara wa health and safety officer mgodini na maslahi mengine, kuna mtu ni bank officer NMB (Dss) na amepata hiyo post ya HSo mgodini, je aende mgodini au abaki bank
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wa kuu nilikua naulizia kwa mwenye kujua wale matechnician wanaosaidia wanafunzi during practicals huwa range za mishahara yao ipoje kuanzia kwenye bachelor, master na hata PhD. Karibuni wadau
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Habari ndugu mimi nikijana wa miaka 30 nidereva natafuta bajaji au pikipiki ya mkataba au anaejua sehemu wanatoa mikataba anisaidie niweze kujikimu asanten
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Position: Various Positions (Interns) Location: UNFPA Tanzania (Dar es salaam, Zanzibar & Dodoma) Full/Part-time: Full-time (approximately 40 hours per week) Duration: Up to 6 months The...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Aisee wakuu nimemaliza Diploma ya sheria pia nina Shahada ya Sheria nawazaje kupata connection ya check namba wakuu niweje kujikwamua natakunguliza shukrani. C.C The Wolf ChoiceVariable Robert S...
3 Reactions
6 Replies
675 Views
Ndugu zangu mimi ni mhitimu wa profession ya quantity surveying (QS) nipo apa kuomba internship iwe wewe ni mmiliki wa kampuni au unaweza kunisaidia kwa namna yoyote ile. ASANTE CONTACT...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Mimi ni kijana ninayejitolea katika moja ya hospital hapa nchini katika kitengo cha mapokezi kwa miaka zaidi ya sita napenda hii kazi ya kuhudumia wagonjwa, changamoto yangu sina uhakika wa ajira...
3 Reactions
15 Replies
596 Views
Jamani Nina diploma ya uwandishi wa habari, natafuta kazi
2 Reactions
7 Replies
562 Views
Wakuu katika harakati za Kila siku nilijikuta nimeajiriwa na kampuni ya ujenzi ya kichina kama msaidizi wa mafundi. Sasa mnamo Jana kuna ubishi ulizuka watu wakawa wamesimama huku foreman alikuja...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
POST MTENDAJI WA KIJIJI III - 1 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, APPLICATION TIMELINE: 2024-04-15 2024-04-28 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Afisa Masuuli...
1 Reactions
1 Replies
473 Views
POST DEREVA DARAJA II - 1 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, APPLICATION TIMELINE: 2024-04-15 2024-04-28 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kukagua gari kabla na...
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Wakuu habarini, Mimi nimehitimu chuo mwaka jana, Accounting and finance, nauliza sehemu apa Arusha wanatoa nafasi za internship.
3 Reactions
14 Replies
678 Views
Wakuu habari zenu, Napenda kujua ni kweli lazima kudhibitisha vyeti vya masomo Kwa mwanasheria Kwa kupiga mhuri Kwa mwanasheria ikiwa unataka kuomba ajira serikalini. Na je Kwa waliowahi Fanya...
3 Reactions
4 Replies
504 Views
Hello . Hivi ajira za afya na Ualimu kibali cha kuajiri watumishi Elfu 10300 na Raisi samia mwaka wa fedha 2023/24. Zinatoka lini kwa anayejua Tetesi? Waziri na viongozi wake wa Tamisemi Dana...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wakuu. Nipo na binti wa miaka 25, ni mkazi wa Wilaya ya Dodoma mjini Kata ya Ihumwa. Elimu yake ni Stashahada ya mahusiano kazini kati ya mwajiri na mwajiriwa (diploma in industry...
1 Reactions
4 Replies
476 Views
Back
Top Bottom