Relationship Manager; Mortgage Financing (1 Position(s)
Job Location: Highlands Zone
Job Purpose: Required to grow Mortgage financing portfolio and ensure that the product is well positioned in...
Habarini nyote,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 30, Ninaishi Mbeya mjini mitaa ya Mwambene.
Elimu yangu ni astashahada ya maendeleo ya jamii, lakini pamoja na hivyo Nina uzoefu...
Baada ya hii ajali ya jana iliopelekea kupoteza maisha ya wanadamu wenzetu, nimejikuta nikiwaza sana kuhusu kumshauri mwanangu kusomea urubani.
Ni nini hasa kinachowavutia watu kusomea na kufanya...
Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya.
Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili...
Habari ndugu zangu,
Ninaomba kuuliza kuhusu hizi Ajira mpya za wahudumu wa afya ngazi ya jamii zilizotangazwa na Tamisemi kwa mtu mwenye uelewa
1. Kiwango cha mshahara ni bei gani?
2. Kama mtu Una...
Hata kama ni jobless, bado maisha inabidi yaendelee. Pengine muda huu, kuna jobless wa Mungu anakaribia kukata tamaa au ameshakata tamaa kwa sababu hajui afanye nini au mishe mishe gani kusukuma...
Habari Wana JF Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natoa huduma ya kuangalia nyumba au watoto endapo muhusika amepata udhuru au kwa sababu zingine...
Wakubwa poleni na majukumu mbalimbali, hata wale mashabiki wezangu poleni pia.
Niende direct kwenye uhitaji wa msaada wangu. Nimekuwa mfuatiliaji na mtafutaji wa haya maisha yetu.
1. Nina shida...
General
Description of assignment title: Communication Associate
Assignment country: United Republic of Tanzania
Expected start date: 05/01/2024
Sustainable Development Goal: 17. Partnerships...
Job description
The Department of Geography in collaboration with the University of Cape Town’s Environmental Humanities South (EHS) is implementing a four-year research project namely: Critical...
Manager – Tax & Regulatory Services
KPMG is a global network of professional services firms providing Audit, Tax and Advisory services. Our purpose is to inspire confidence and empower change. We...
Contracts and Compliance Administrator – KPMG Tanzania
KPMG in Tanzania is part of a global network of independent KPMG Firms that offers Audit, Tax, Advisory services. Through the talent of our...
G E N E R I C P O S T D E S C R I P T I O N
SECTION 1
VN IOM/DAR/026/2024
Position Title Migration Health Physician (Health Assessment Programme)-1 Position
Position Grade NO-B
Appointment Type...
Habari zenu wakubwa kama heading inavyoelezea hapo nahitaji mtu mwenye account ya bolt ya gari ambae haitumii kama atakua tayari kuniuzia anichek inbox tuyajenge
Habari za asubuhi Wana jamiiforums, Nimatumaini yangu muwazima wa afya.
Wakuu mimi ni afisa tabibu yaani clinical officer ninafanya kazi katika kituo x cha afya cha private na Sina mkataba wa...
Ofisi inajihusisha na ujasiriamali wa kuuza Series/movies kwa watu majumbani.
Anahitajika kijana mwenye uzoefu na kazi ambae ameshawahi kuifanya na mwenye uzoefu nayo.
Lakini kwa ambae anajua...
Retail Sales: Earn 90,000tshs for selling 24 cans at retail price.
Wholesale Sales: Earn 120,000tshs for selling 60 cans at wholesale price.
Requirements:
No Prior Experience Needed
Training and...
Habari za wakati huu!!
Mimi ni muhitimu wa:
1)Ngazi ya DIPLOMA in Civil Engineering mwaka 2018
2)Ngazi ya BACHELOR in Civil Engineering mwaka 2022
✓chuo cha MUST.
✓ Uzoefu wa miaka 3+
NATAFUTA...
About us
From Arthur Guinness to Johnnie Walker, our business was founded on people of great character, and in 250 years, nothing’s changed. We’re the world’s leading premium alcohol company. Our...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.