Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Expressions Of Interest Of Service Providers Helium One (Njozi) Limited, a company incorporated in the United Republic of Tanzania with registration number 117270 (the Company), is seeking...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
Pre-Qualification Of Building Contractors For The Construction Of An Opd For Likuyusekamaganga Health Centre In Likuyu Ward, Namtumbo District, Ruvuma Region. Mantra Tanzania Limited (Mantra)...
0 Reactions
1 Replies
252 Views
CAMFED Overview CAMFED (the Campaign for Female Education) is internationally recognised as a leader in education for girls, for its child protection policy and practise, and as a voice for girls’...
0 Reactions
1 Replies
245 Views
Wahanga wa ajira za sekta ya maji (engineering na maabara) ni wengi.. Please drop your details na wale ambao wako na connections au fursa wataona na kutuunganisha InshaAllah.. Ahsante.
0 Reactions
1 Replies
202 Views
Habari. Jamiiforum nimeweza kuwafuata inbox mara zote nikiitaji kusaidiwa hali haikuwa hivyo, Mimi ni Miongoni mwa vijana 265 Tuliopata kazi za mkataba zilizotolewa na katibu wa Tamisemi ajira...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari wana JamiiForums samahanini nina ndugu yangu amebahatika kwenda jeshini lakini ana tattoo ya jina mkononi, anashinda ndani analia hajui aiondoe vipi maana akijichoma na pasi wanasema makovu...
7 Reactions
66 Replies
3K Views
Anahitajika mdada mwenye ujuzi wa wa IT Kwenye nyanja zifuatazo: 1. Graphics design 2. Microsoft package 3. Networking design and implementing 5. Social media marketing 6. Good customer care...
2 Reactions
6 Replies
482 Views
Habari.
3 Reactions
4 Replies
495 Views
Mimi ni mfamasia (nimesajiliwa na baraza la famasi). Natafuta kazi yeyote inayoendana na taaluma yangu au hata isiyoendana (nina uwezo mkubwa wa kujifunza vitu vipya). Nina utaalamu mkubwa...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari? Natafuta gari ya hesabu au mkataba kwa ajili ya biashara ya taxify ya mitandaoni, nina uzoefu wa kutosha kwenye kada hii,leseni yangu ni hai na halali kwa taratibu na sheria za jamuhuri...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za muda! Kuna tangazo la nafasi za kazi za muda tume ya taifa ya uchaguzi. Naomba kuuliza je ni lazima uwe umesoma fani za IT/ ICT ndiyo unaweza chukuliwa au pia hata kama una uzoefu wa...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
.
0 Reactions
3 Replies
409 Views
Samahan sana wana JamiiForums, Naombeni msaada kwa yeyote atae guswa m ni kijana mwenye umri wa miaka 26 nmetoka chuo mwez wa tatu 2022 nmezunguka sana kutafta nafasi ata ya kujitolea nakosa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani, nini maana ya Workers Compensation Fund? Je hii ni faida kwa nani, mfanyakazi au nani? Naombeni ufafanuzi. Kwa Taarifa zaidi soma attachment
1 Reactions
18 Replies
43K Views
Kwenye makampuni mengi ya kubeti kuna hii kitu inaitwa jackpot ambapo kwa pesa yako kidogo tu utakayoweka unaweza kuondoka na mamilioni ya fedha. Sasa na mimi nataka niingie mazima kwenye kubeti...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mliowahi kujaza system ya taesa mnisaidie mimi nimejaza zile Required information zote na vyeti kila kitu na profile nimeweka kila kitu. Kipengele ni kwenye submit CV hapabonyezeki yaani inakua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA. Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo...
2 Reactions
7 Replies
766 Views
Kwanza nimshukuru sana mheshimiwa kwa kupata hii nafasi ya kuposti Leo, Lakini niwapongeze rafiki zangu walioajiriwa mwaka 2014, mwezi wa Nne tar 1, Leo hii wametimiza miaka 10! Lakini cheo...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Position Title: Senior Software Developer Consultant Work station: Dar-es-salaam, Tanzania Employment type: Contract based Duration: 12 Months Application deadline: 27th January 2024: 1700hrs Job...
0 Reactions
3 Replies
524 Views
Habari wakuu! Naomba kufahamu baada ya kutuma maombi kwa katibu mkuu utumishi huwa inachukua muda gani mpaka upate majibu yako ya barua! Taratibu zote za kuomba uhamisho tayali nmefanya pamoja...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom