1.
Executive Personal Assistant
KEY RESPONSIBILITIES
Perform general office duties such as visitor and diary management for the Office of the GDRB and Managing Director, ordering supplies...
Kuna haya makampuni makubwa yanayomiliki viwanda na biashara nyingine kubwakubwa yanaleta wahindi nchini kufanya kazi, kwanza hatujui kama wanakuja kihalali au la. Na wakifika makazini wanapewa...
Samahani mimi ni operator wa wheel loader na excavator , nimeangaika sana na excavator nkakosa connection nkaamua niingie kwenye loader nmepata ujuzi na npo vzuli kwajili ya kazi ila excavator...
Shamba lipo hapo Wilaya ya Kisarawe. Majukumu ya kijana ni kuweka mazingira sawa, kulima na kuhakikisha majani hayaoto kwenye shamba husika.
Shamba ni la heka 2, halijapandwa zao lolote lina...
Ofisi ipo Dar es Salaam, Kimara inahitaji wafanyakazi watatu vijana "Very Smart Upstairs"
SIFA ZA WAHITAJIKA
-Elimu Form Four Na Kuendelea
-Ujue Kutumia Computer 100%
-Ujue Kingereza Kusoma Na...
Ni tumaini langu wote wazima.
Naandika uzi huu kwa ombi la msaada. Kwa kweli, mambo yameniendea ovyo, nikiwa jijini Dar es Salaam.
Kazi ilisimama, katika kusaka nyingine, kodi ya nyumba ikaisha...
Habari zenu wakuu?
Shirika la posta lilitangaza nafasi za kazi mwaka huu.
Naomba kuuliza majina kama yameshatoka au kuna mtu ameshaitwa kwenye usaili, binafsi sijapigiwa sina sijapata mrejesho...
Jaman habari Wana Jamii,
Kwakweli naombeni msaada wenu nimesoma Procurement and Logistics management nilimalza tangu mwaka 2020 sasa Kila nikiomba kazi sipati kabisa wala hata kuitwa kwenye...
Habarini ndugu zangu poleeni na mihangaiko ya kutwa mimi nilikuwa naulizia mwenye uzoefu na Interns za world vision jinsi wanavyolipa na kazi zao mana mimi ni Eng (civil) naombeni msaada anayejua...
Habari wanajamvi wenzangu. Pasipo kupoteza muda wa mtu yeyote, nipende kushiriki nanyi juu ya huu mtindo wa utapeli wa ajira/nafasi za kazi zinazotangazwa kila uchwao. Naamini kupitia uzi huu...
Heri ya Pasaka,
Kuna Kazi zimetangazwa na IPA, nataka kuomba, ila wanataka candidate mwenye deep experience ya SurveyCTO.
Hii Survey CTO ni Nini, inadeal na nini?
Kama huna experience nayo...
Habari ndugu,
Anahitajika kijana Mwenye ujuzi wa Masoko na Biashara, hasa kwenye fani ya Afya, eneo KILUVYA MADUKANI Dar es salaam.
Vitu muhimu;
Awe anaishi Eneo ambalo Sio Mbali Sana na...
Habarini ndugu zangu Wana Jamii Forums .Mimi ni kijana wa Miaka 26.Natafuta kazi ya Dental Therapist (Daktari wa Meno Ngazi ya Diploma ).Leseni ya kufanya kazi ninayo tayari.
Kwa sasa Nipo...
Habari za kazi wakuu, poleni na hongereni kwa majukumu !
Ninatafuta kijana wa kiume anayeweza kuchoma kuku mida ya jioni, malipo ni Tsh 5000 kwa siku kwa kuanzia it means inaweza kuongezeka...
Anahitajika secretary kazi ya mwaka ila inaweza kuwa inaongezwa muda.
SIFA
-ajue computer vizuri
-awe mchapa kazi kuna wakati ofisi inafungwa saa 12.
-Awe mwepesi kujifunza
-Awe mwaminifu...
Habari za muda huu ndugu zangu?, Mimi Athumani mkazi wa Dar es salaam mwenye degree ya IT. Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu na kuongeza kitu kwenye CV yangu. Nina ujuzi wa graphics, na...
Je wewe ni kijana mwenye kipaji na uwezo wa kutengeneza systems mbalimbali za kielektroniki kwa ubora wa hali ya juu?
Karibu ujiunge nasi GSTAR SERVICES ili tuweze kuunganisha mawazo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.