Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari, mwenye ujuzi wa graphic designer, photoshoot na videographer anahitajika Nitumie mawasiliano PM. Eneo la kazi Dar es salaam. Full time job.
4 Reactions
4 Replies
666 Views
Wakuu kuna nafasi za kazi . Wanahitajika Gradute Engineers (Civil) wawili na Driver mmoja. Engineers wawe wame graduate mwaka jana 2023. Driver awe ana cheti cha NIT na awe amezaliwa kuanzia...
0 Reactions
12 Replies
755 Views
Habari nina pikipiki Used ina mwaka mmoja. Natafuta kijana wa kumpa mkataba Awe ana nipa Elfu 10 kwa siku. Baada Ya miezi nane nitampa kadi. Eneo liwe Dar.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habarini wakuu na poleni kwa majukumu. Naomba kwa walio na uzoefu wa kuanzisha NGO,s kama hizi non-profit organization masuala ya wanawake, watoto, vijana na vikundi ili kuleta impact kwa jamii...
0 Reactions
0 Replies
405 Views
Habari, Mimi ni msichana wa miaka 26, natafuta nafasi ya kazi ya maendeleo ya Jamii name elimu ngazi ya dilpoma au shirika lolote linalohusiana na maendeleo ya jamii. Ninauzoefu niliwahi...
3 Reactions
2 Replies
529 Views
Position: Director of Retail and SME Banking Department: Retail and SME Banking Reports To: Chief Executive Officer Level: Director Location: Head Office Dar- Es -Salaam KEY RESPONSIBILITIES...
0 Reactions
1 Replies
608 Views
Habari za leo wanajukwaa wote. Naombeni msaada kwa haya yafuatayo kuhusu interview(usaili) za utumishi maarufu PSRS (ajiraportal). 1. Usaili wa utumishi unajibiwa kwa "essay au short answers' tu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa ngazi ya degree in civil engineering mwaka 2023, natafuta kazi ( ushauri pia napokea)
0 Reactions
3 Replies
644 Views
Habari wapendwa, mie ni kijana wa miaka 29 nilikuwa na fedha vizuri kabisa but nikafukuzwa kazi for now Sina ishu na nilikuwa naishi Mwanza but for now niko Arusha nina week mbili tena nimefikia...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wadau, Jamani mwenye kujua au anayo nafasi yoyote ya kazi nina taaluma ya welding kama vile. Gate/ madrisha/ mabango/ minara/ kenchi Pia naweza kufanya kaz yoyote ya halali msaada nipo...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
  • Poll Poll
Nina uzoefu wa miaka kumi kusimamia Kampuni za clearing and forwarding. Nimebobea kwenye importations, Exportations, Transit pia usimamiaji wa Customs Bonded Warehouse. Naombeni connections...
0 Reactions
1 Replies
444 Views
Position: Group Head of Sales and Marketing Job Purpose Reporting to the Managing Director, the incumbent will be responsible for all sales and marketing activities. Additionally, the role will...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Position: Investment Officer Location: Mbeya Department: Operations Company Details: EFTA is a reputable award-winning equipment finance company based in Tanzania with numerous branches across...
0 Reactions
0 Replies
300 Views
Position: School Improvement Project Officer Reports To: Education Program Manager Location: Babati District, Manyara Region Contract Type: Employment ABOUT THE SCHOOL IMPROVEMENT PROJECT: So...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Wakuu bila shaka mu wazima wa afya. Baada ya hustle za hapa na pale, kuandika nyuzi kadhaa humu na reply kedekede nikitafuta kazi hatimae nilipata, japo sio kutoka humu ni connection tu ya jamaa...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari wana Jamii Forums, Leo napenda kuwashirikisha ndugu zangu ninyi mambo kadha wa kadha juu ya uhamiaji. Najua Tanzania tuna watu wengi sana wanapenda kufanya kazi nje, pia ukosefu wa ajira...
26 Reactions
92 Replies
12K Views
Je labour market Kwa shahada ya uchumi lipoje Wana JF??
1 Reactions
2 Replies
296 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, mbunifu, mwaminifu na mchapakazi Nimesomea maswala ya manunuzi na ugavi ngazi ya shahada katika chuo cha uhasibu Tanzania TIA na nimesajiliwa na bodi PSPTB...
5 Reactions
7 Replies
805 Views
Wakuu kuna nafasi ya kazi ninataka kuiomba ila moja ya document wanazotaka ni writing sample, yenye maneno maximum 1,000. Ni kazi ya research assistant, naomba kusaidiwa ufahamu. Writing sample...
1 Reactions
18 Replies
616 Views
Wakuu Naomba Kujua Posho Za Ma Staff kwa Maana wale Non Academic Officer wa Taasisi za Elimu ya Juu Ukiachana na Basic Salary Je wanapewa fedha Za Chakula,usafiri na Nyumba kama zilivyo baadhi ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom