Habari,
Majuzi kulitangazwa nafasi za ajira katika Bank ya PBZ Kupitia mitandao mbalimbali na pia kwenye website ya PBZ Bank. (Tangazo nime ambatanisha hapo chini).
Kwenye tangazo wamesema...
Jaman wana JF mwenye connection ya kazi naomba kuunganishwa tafadhari, nimejaribu kuomba kazi viwanda kadhaa hapa mbeya lakini hakuna mafanikio yoyote, kama kuna mtu anaweza kunisaidia...
Eneo Duka Lilipo : DAR - STOP OVER
MAJUKUMU :
1.Kuuza Vitu Dukani
2.Kuwashawishi Wateja Kununua Kwa kuwaelezea Faida na Hasara ya Kutotumia Bidhaa Husika.
3.Usafi wa Vitu na Duka Zima kwa...
Wadau kuna kampuni hii ngeni kwangu naombeni taarifa kwa anayeifahamu vizuri mana napata ukakasi sana kwa taarifa nilizopata.
Kwanza niseme wazi hii kampuni nilikuwa sijawahi isikia popote hadi...
Habari za muda huu wakuu?
Samahani bwana, hivi Kuna mtu yeyote anaufahamu mradi unaohusika na maswala ya Ukimwi unaosimamiwa na Sonnabend NGO?
..
Wamemwaga ajira nyingi sana zenye mshahara mnono...
Habari za leo.
Natafuta binti smart, mchangamfu, asizidi 27 kwa ajili ya kuuza liquor store mitaa ya mbezi beach. Awe na nida pamoja na wadhamin wawili.
Nichek PM
Habari wanandugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 niko kwenu hapa kutafuta kazi yoyote ile Kwa mkoa wa Dar es salaam au Kahama..
Uzoefu nlionao driving.
Kulinda.
Kufuga.
Na kazi yoyote ile...
Mimi ni mwanafunzi mwaka wa tatu na wa mwisho chuo kikuu cha Dodoma BSC IN HEALTH INFORMATION SYSTEMS vp kuna mtu ana uzoefu huko na namna ya kuomba na kupata
skills
system and network...
Job Description: Cashier
Position: Cashier
If you're interested, send your CV & portrait photo to the following email address: kanya@saintparts.co.jp
Job Summary:
As a Cashier, you will play a...
Habarini,
Kwa wale wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiriamali haswa mliokuwepo mkoani hata ambao mpo ndani ya dar es salaam ambao mlikuwa mnapata shida kuagiza kitu au bidhaa yeyote kutokana na...
Watumishi wa kada mbalimbali Halmashauri ya wilaya ya Rorya wamesimamishiwa mishahara yao kwa mwezi huu kwa kushindwa kufanya planning ya kazi zao kupitia mfumo wa ESS(PEPMIS). Baadhi ya watumishi...
Kichwa tajwa hapo juu chajieleza vizuri Mimi nikijana wa kiume umri miaka 21 ni mwanafunzi wa chuo. Natumia muda wangu kutekeleza majukumu kwa watu mbali mba ambao wanakuwa wanabanwa na majukumu...
Position: Supervisor – Dewatering
Contract type & Duration: Unspecified time contract
Department: Open Pit Mining
Reporting to: Senior Supervisor – Dewatering
Number of Positions...
Position: Technician 1 – Evaluation
Contract type & Duration: Unspecified Time Contract
Department: Geology
Reporting to: Supervisor QAQC
Number of Positions: One (1)
PURPOSE OF THE ROLE:
The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.