Habari wana JF wote;
Kwa jina naitwa Adam Ramadhani, Nina umri wa miaka 25 na kwa sasa naishi mkoani Tanga. Nimefanikiwa kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu na kupata shahada ya Uhasibu...
Wadau kwema, mfano una cheti cha C1 ya udereva unaweza kuomba kazi utumishi bila kua na advance driving grade 2 naombeni msaada kwa mnaofaham na mawazo pia
Consultancy to Carry Out a Comprehensive Review of the Institute of Adult Education Policies and Programmes
Terms of Reference
Background and Context
The Institute of Adult Education (IAE) is a...
Invitation for BID
No. GIZ/KOFI EIB/83459390/2024
Pre-feasibility study for a Wastewater Treatment Plant for the Stone Town and New Town, Zanzibar.
The City Climate Finance Gap Fund (“Gap...
Program Name: Bachelor Of Science In Computer Science
Position: Assistant Lecturers (3 Positions)
Qualifications
- Holders of a Master of Science and a Bachelor of Science in Computer Science...
Kuna karakana ndogo inahitaji fundi wa kushona viatu vya kiume hasa travolta.
Mjuzi, awe na uwezo wa kutengeneza hivyo viatu na vionekane vipya kabisa.
Malipo kwa kila pea ni sh. 5000/=
Kama una...
Habari za mchana wanajamii.
Mimi ni mwanaume kiumri niko ktk early 30s. Nimemaliza college since miaka kadhaa iliyopita hivi, currently iam holding an empty BSps. Kiufupi sikuweza kupata kazi...
Anahitajika mfanyakazi wa stationary awe ana uwezo wa kutumia Computer Software mfano Adobe photoshop.Location ni Arusha Mjini.
Mwisho wa maombi ni tarehe 30/02/2024.
Cv itumwe...
MAOVU NDANI YA MCHAKATO WA AJIRA ZA TAKUKURU
Ndugu wana bodi mapambanono dhidi ya Rushwa ni ya kila mtu kwa nafasi yake katika jamii. Hivi karibuni Taasisi ya kuzuia na kupambana na...
Habari wapendwa.
Hivi kwenye interview Kuna swali la uzoefu wako katika kazi hiyo uloomba mfano muhasibu aidha wanakuambia wa mwaka au miaka mi2 swali hili naweza jibu vp ikiwa sijawahi ajiriwa...
Habari wana JF wote,
Kwa jina naitwa Adam Ramadhani, Nina umri wa miaka 25 na kwa sasa naishi mkoani Tanga. Nimefanikiwa kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu na kupata shahada ya Uhasibu na...
Wakuu naomba mnisaidie connection au sehemu ambayo naweza kupata kazi ya malipo ya kiasi cha shilingi elfu tano kwa siku MWANZA MJINI au ILEMELA kama ipo.
NB: Wakuu hata kazi ngumu za ujenzi pia...
Kama mtu amewahi kuajiriwa serikalini akafukuzwa kazi au kuacha inakuwa ngumu sana kurudi kuajiriwa serikalini, hii ina lengo zuri la kuwafanya watumishi watulie sehemu moja na wasiache ache kazi...
RESERVATION ASSISTANT JOB DESCRIPTION
We Kibena Africa Safaris and Tours are looking for detail-oriented reservation assistant to assist our customers with their booking needs. You will provide...
Habari wakuu,
Anatafutwa mtaalam wa kudevelop mobile application na website.
Ikiwa una nia na ujuzi wa kutosha, tafadhali wasiliana nasi.
Tunatarajia kusikia kutoka kwako haraka iwezekanavyo...
Habari za muda huu viongozi, nimatumaini yangu kuwa mko fit. Bila kuchelwa najua humu kuna wakuu wa shule mbalimbali, wafanyakazi na n. k, mdogo wangu amekomea form six kielimu kutokana na...
We Kibena Africa Safaris and Tours Limited with offices in Dar Es Salaam are looking for young and energetic Accounts Assistant to manage our daily financial activities. If your reaching below...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.