Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habarini Mimi ni Binti wa miaka 21. Nina certificate ya secretary na cheti cha JKT na ujasiriamali naomba natafuta kazi ya reception au kuuza duka lolote la halali.
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Tokea hili jukwaa lianzishwe nimejaribu kuomba kazi sana humu ya udereva wa magari makubwa na madogo lakini atakupokea simu moja tu hakuna! Kuna mda naona waajiri awaingii humu. Tupo wenyewe tu...
1 Reactions
9 Replies
610 Views
Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (YAPPI, CHICO, CCE, CRSG au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reli, uwanja wa...
5 Reactions
16 Replies
985 Views
Wakuu habari ya leo, Naomba kupata muangaza kidogo katika written interview za examination officer aina ya maswali yanayoulizwa.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume elimu yangu form six natafuta kazi yeyote ili niweze kuendeshea maisha napatikana mwanza
4 Reactions
18 Replies
1K Views
kwa majina naitwa hassani hashimu chukachuka ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nina elimu ya ngazi ya juu yaani chuo kikuu kwa shahada ya usimamizi wa rasilimali watu ( human resource management...
1 Reactions
1 Replies
308 Views
Assistant Investigators III (100 Posts) Required Qualifications: Academic Qualifications: Applicants should possess Certificate of Secondary (CSE), Basic Technician certificate, or Diploma...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Orodha ya fursa mbali mbali za kujiajiri na miradi 1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi...
14 Reactions
16 Replies
5K Views
Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara. Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba...
27 Reactions
148 Replies
11K Views
👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫👨‍🏫 NATAFUTA KAZI YA UALIMU Mimi ni mwalimu mwenye shahada ya elimu, nina uzoefu wa miaka minne wa kufundisha shule za msingi na sekondari. Ninafundisha masomo ya Kiingereza...
1 Reactions
2 Replies
932 Views
Mambo vipi wakuu? poleni na majukumu. Naomba kuuliza mwenye kufahamu, hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa? Maana kwenye siku za hivi karibuni nimejaribu sana kufungua account lakini...
1 Reactions
2 Replies
993 Views
Ndugu zangu nimefail interview ya Taesa vipi naweza kurudia upya? Nimekaa nimefikiria Kila kitu nilikijibu sawa lakini status inasoma fail nifanyaje nirudie interview Nimejaribu kubook training...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
USAID, UNICEF, SAVE THE CHILDREN, UNDP, WORLD CHURCH SEVIRCE, IRC, WORLD VISION NAKADHALIKA, haya mashirika huwa yanatoa kazi kila siku mitandaoni, na for the past seven years nimekua nikiapppy...
10 Reactions
49 Replies
5K Views
Consultancy For The Review And Preparation Of New Tanzania Mortgage Refinance Company Limited Strategic Plan Covering Years 2025 To 2029 Tanzania Mortgage Refinance Company Limited (TMRC) is a...
0 Reactions
2 Replies
347 Views
Position: Downstream Assistant Maintenance Supervisor KEY RESPONSIBILITIES Reporting to the Downstream Operations Manager, the successful candidate will: Coordinate and supervise all...
0 Reactions
2 Replies
294 Views
Tumaini University Makumira (TUMA) invites qualified candidates with Universities Qualifications recognised by TCU to apply for employment consideration in the following teaching posts: Assistant...
0 Reactions
3 Replies
539 Views
Position: Junior Human Resource Business partner Ref: 2024-02 Your role Under the guidance and direct supervision of the Head of Human Resources, the junior Human Resources Business Partner (HRBP)...
0 Reactions
2 Replies
310 Views
Position: Driver II Duties and Responsibilities - Checking the vehicle before and after the trip to determine the vehicle’s safety condition; - Sending employees to different places on...
0 Reactions
2 Replies
292 Views
Position: Clinical Excellence Lead Tanzania Reports to: Country Medical Director Location: Dar es Salaam (Travel between regions will be expected) Job Summary: The Clinical Excellence Lead is...
0 Reactions
2 Replies
340 Views
Back
Top Bottom