Kama kuna mtu amesomea masomo tajwa hapo juu (physics na mathematics), anahitajika kufundisha Shule ya Sekondari Uruwira.
Shule ni ya Serikali ipo Wilayani Mpanda Mkoani Katavi
Nb posho 150000...
Vp wakuu,
Mimi ni camera man, editor pia graphics designer, pia ni content creator.
Ila kwa sasa Sina kazi Kama unahitaji mtu mwenye ujuzi huo Mimi nipo tayari. Au Kama Kuna connection popote...
Wakuu wadogo zenu tupo kwenye usaili idara za usalama kipindi hichi.
Tunaomba muongozo muliwahi kupita au mpo kwenye idara hizi, tunafahamu kuna undugu kwenye taasisi za usalama lakini hatuchoki...
Utapita kwenye interview stage zaidi ya 4 na utapewa offer, Kisha utaikubali, baada yahapo utapelekwa kwenye vipimo vya afya Yako ikiwa ni pamoja na x-rays ya kifua, mgongo, watakupima HIV...
Kuna miaka kama mitatu hivi nilipitia changamoto na fursa zikawa haziji. Nilikuwa natamani hata kupata kazi ya kulipwa chini ya milioni na haikupatikana. Sasa hivi hata siamini namna miaka mitano...
Wakuu habari poleni na majukumu yenu ya kazi siku ya leo naenda moja kwa moja kwenye mada naomba kujua walifanikiwa kuwa shortlisted leo kufanya usaili uliokuwa unafanyika saa nane mchana wa...
Habari za leo wana JF,
Mada hapo inahusu mishahara ya kampuni nyingi za ulinzi hapa nchini kwetu ambapo wanaoumia ni walinzi wa chini huku baadhi ya watendaji wa ngazi za juu wakilamba maslahi...
Habarini za muda huu wanajamvi.
Niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi bila kuwachoshaa.
Inaanza najisogeza taratibu ndani ya mwendokasi(kivukoni-moroco) ili nipate upenyo wa kutoa simu yangu...
Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi...
Sehemu ya Kwanza: Maelezo Binafsi na Mawasiliano
Maelezo ya Kibinafsi:
Anza CV yako kwa kujitambulisha kwa jina lako kamili, anwani, namba ya simu, na anwani ya barua pepe. Hakikisha maelezo haya...
Position: Manager- Public Sector Consulting
Duty Station: Tanzania with a focus on the entire East Africa region, traveling within and beyond the region is anticipated
Essential Duties and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.