Habari zenu wakuu
Leo nimeona niwaletee Uzi huu kwa vijana wanaotaka kwenda kufanya kazi ulaya na kuishi huko has a nchi za EU,Norway,swirzland nk
Njia rahisi na nyepesi ya kwenda ulaya ni hii...
Name: DAVID NDILE
Education Level: BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE (chemistry) WITH ICT
Location: KITUNDA DAR ES SALAAM
Nafundisha Chemistry na Computer.
Naombeni msaada kama kuna mtu anayefahamu online tests(Aptitude test) za hii nafasi ya kazi DSLAM | Migration Program Officer & Temporary Resident Program Analyst - participants in the Locally...
Shule: Ubungo modern secondary school
Mahali:Ubungo maziwa
Mawasiliano: +255692300612
Awe mkazi wa Dar es Salaam, fika shuleni ukiwa na barua ya maombi, ambatanisha na CV,
Awe tayari kufanya...
TANGAZO:
KAMPUNI YA UPSCALE SHOP, ILIYOPO MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM, TUNATANGAZA NAFASI YA KAZI YA 'MARKETING OFFICER' KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MIKOCHENI KWA MWALIMU NYERERE, DAR ES...
Kwa wale wanaofahamu ni muda gani mtu aliyeomba uhamisho kutoka wizara moja kwenda nyingine hujibiwa. Na ni namna gani mtumishi anaweza kupata taarifa za maendeleo ya taarifa ya maombi yake...
Nimeitiwa interview, wapo pwani kisarawe, naomba taarifa saidizi namna ama njia nyepesi ya kufika, mimi natokea Dar. Kama kuna mdau mwngine kaitwa pia ni vizuri tukifahamiana. Natanguliza shukurani!
Habari wakuu,
Ningependa kujua mishahara ya tutorial assistants kwa vyuo vya umma kama UDSM, Ardhi, UDOM n.k
Pia naomba kujua na other benefits (packages) outside basic salary
Natanguliza shukrani
Habarini za majukumu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nahitaji kijana muaminifu na mzoefu wa jiko la kuuza chipsi, mishkaki, samaki n.k, kwa hapa Dar es Salaam.
Aliye serious...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30,nina diploma ya manunuzi na ugavi kutoka chuo cha utumishi wa umma.
Nina uzoefu wa kutosha kutokana na kufanya kazi sehemu tofauti ikiwemo halmashauri ya...
Hello wana JF,
Hivi mtumishi anayehama kutoka Halmashauri kwenda Taasisi nyingine liyopo chini ya Wizara baada ya kuomba nafasi hiyo kupitia AJIRA PORTAL na akaipata, je huyu akienda kuripoti...
ASANTENI AMESHAPATIKANA
Habari tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kusoma vizuri kingereza kukielewa. Awe na umri katika ya miaka 18 hadi 25. awe maeneo ya dar es salam. kwa kuanza mshahqra ni Laki...
Habari za weekend. Natafuta Kijana miaka 20-35 mwenye uwezo mkubwa wa ushawishi katika masoko. Sisi tuna kiwanda kidogo na bidhaa zetu zinasambazwa Kwa Pikipiki na Gari ndogo.
Malipo ni Kwa njia...
Position: Community Development Officer
Program: USAID Tumaini Kupitia Vitendo
Duty Station: Kigoma or Mpanda
Reporting Line: Senior Livelihoods and Rural Finance Officer
Key Responsibilities &...
Natumaini mu buheri wa afya wanajukwaa!
Baada ya kuhitimu chuo miaka michache iliyopita, nilikuja Kahama mjini mkoa wa Shinyanga kupambana. Miaka inazidi kukatika huu mwaka wa pili sasa lakini...
Habari Watanzania wenzangu!
Wakubwa Poleni na majukumu, kijana wenu nimekuja kupitia forum hii kujaribu kutafuta fursa ya kazi au intern ambayo itanisaidia angalau nisikae vijiweni na kuzurura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.