wadau habari kutoka uhamiaji zinasema vijana zaid ya 6000 wameomba lakini haijulikani kama wataita kwenye intervie, itakuwa kimya kimya ili kuondoa msongamao. wadau tujuzane kama watatoa hiyo...
Wadau nimeikuta hii kitu sehemu Nafasi za kazi nikaona sio mbaya nishiriki nanyi pia,maana inaonekana South Sudan inapenda kuwa mwanachama wa East Africa kwa haraka,wenye bahati tunaweza...
Nipo chuo cha DIT nachukua diploma ya Laboratory technology, hivyo wana jukwaa napenda kujua viwandan,DAWASCO, na pi serikarini mshahara wake shiling ngap?
Reputed company is looking for Receptionist Lady Post. Should be at least Computer literate. Form Four leavers can also apply. Send your CV to info@tangazo.com
naomba nisaidieni mwenye kuweza niunganisha au naweza fanyaje nipate intership kwene bank yeyote hapa nchini coz ajira ni ngumu sana. may be this can lead me into employment
habari za mchana wanajamvi nimekuja tena kwenu na swali langu linaloitaji msaada kutoka kwenu hv wana jf kuna mtu yeyote aliewahi kupata kazi kwa kupitia hii mitaandao ya kijamii na maana online...
Samahani wana JF. Naomba kwa anayejua kuhusu namna ya kupata likizo bila malipo. ni mfanyakazi gani anastahili kuchukua, vigezo gani vinahitajika, masharti, na habari zake kwa ujumla
Wasalaam wana JF
Jamani hiki chuo kinachijiita TIU kina exist kweli?
Niliona tangazo lao la kazi kupitia zoomTz, nilituma application yangu, but naambiwa nimekuwa shortlisted so nideposit 20,000/=...
Wajf naomba kufahamu ukitaka kutuma Cv kwa maombi ya customer service TIGO,ZANTEL.napenda kufahamu walipo mawakala wao au hata email address ili nitume cv.asante
Kiwanja kizuri tambarare hakina mabonde wala milima kinafikika kwa urahisi ukubwa 30 kwa 27 Kipo Mbezi ya Kimara, Maramba mawili msikitini bei ni 6,000,000/= maongezi yapo.
Kwa
Wapendwa wana jamii forums, nasikitika week iliyopita wapendwa na watu wa mungu walijibu kichwa cha hapo juu na walinipa email address za watu ambao wanatafuta drivers kuwajiri.
Nikapewa email...
Job Title: Administrative Specialist, Nairobi, Kenya
United Nations Children's Fund (UNICEF)
Nairobi Kenya
Purpose:
Under the general supervision of the Chief of Operations the incumbent is...
Salamu. Mimi ni mwalimu wa sekondari, nipo mjini Kahama Nahitaji mwalimu kutoka Dodoma, Morogoro, Moshi, Tanga au Moshi ili tubadilishane vituo. Mawasiliano 0774 205159.
Habari wakuu,
Tafadhari mwenye kufahamu jinsi hizi recruitment zinavyopata revenue zake. Maana kuna tetesi kuwa wakimtafutia mtu kazi kila mwez anakatwa kiasi furan mpaka atakapoiacha hiyo...
Salamu watanzania. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo mjini Kahama. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu tubadilishane vituo kutoka Dodoma, Morogoro, Moshi, Tanga au Mtwara. Mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.