Ikiwa ni mwalimu ndio kwanza umeajiriwa sasa unataka kuhama yaani kubadilisha shule wilaya hiyohiyo. Wanajamvi nauliza mchakato uko vipi na ni baada ya muda gani natakiwa kumpa mkuu wa shule barua...
Kijana FELICHESM Y MUNISHI, anaesoma KARANGA TECHNICAL-MOSHI anatafuta sehemu ya kufanyia mazoezi kwa vitendo 'field' kuanzia mwezi May hadi Julay, popote Arusha, Kilimanjaro na Manyara.
Kama...
Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari,shule ipo mkoa wa pwani wilaya ya Mafia.shule ipo mjini.mm nataka mtu wa kubadilishana nae kituo aliyekuwepo morogoro mjini.kama upo tayar 2wacliane kwa namba...
Wanajukwaa napenda kuuliza ajira za nursing kama zimeshatoka wizara ya afya na kama bado nifanyeje? Nimemaliza mwaka jana july nina certificate ya fani hiyo niliyosoma mwaka 1.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita...ninanomba wanajamii forum mnisaidie kupata kazi ya muda mfupi hadi niendapo chuo..ninaweza computer,naongea fluent English...
Wadau tusaidiane kwani kazi...
Enyi wana jf kama kuna mtu ana mchongo anipe mana nipo doro kinoma
academic qualification,
ma sociology, bsc nursing, dip dentistry. Naomba kuwasilisha.
Mesco Limited is a company registered in Tanzania to provide a wide range of engineering solution. We
are registered by Contractor Registration Board of Tanzania (CRB) as Electrical and...
mimi ni kijana nimemaliza diploma ya ICT mwaka jana nchini kenya,kwasasa sina kazi yoyote kwani nipo nyumbani tu maeneo ya kiwalani dsm,hivyo naomba kwayeyote anaeweza kunisaidia kazi au ushauri...
Habari wandugu.Kati ya miezi ya sita mwishoni na saba katikati mwaka jana Tanapa walitangaza nafasi za kazi kwenye idara tofauti tofauti, rafiki zangu wawili wanaishi mkoa mpya wa Katavi walituma...
wajameni yani hata sitaki kujiamini yani na ubachelor wangu wa business in information technology unavyouza kwenye mabenk yani bado niko benchi mpk usawa huu kwani hizi banks zimebadili muelekeo...
Hello wanajf,mimi nina bachelor ya public relations,nimetafuta kazi nahisi kuchoka cjapata,nawaza nipursue masterz labda itanisaidia kupata kazi kwa urahisi,but sitaki kuchukua pr tena nataka...
Anahitajika Kijana (Ke/Me) wa kuingiza taarifa kwenye Kompyuta. Awe anajua kutumia Kompyuta, awe na spidi ya kuridhisha katika kuandika, awe makini na nadhifu katika kazi.
Muombaji...
Natafuta msichana wa kazi asizidi umri miaka 30, awetayari kufanya kazi nje ya Dar,pia awe na uelewa wa kufanya kazi za ndani.
Kwa mawasiliano piga 0713239363 au 0713708222.
Mshahara ni...
Mimi ni mwanafunzi wa ifm hapa Dsm. Ninachukua bachelor ya computer science.
Ninatafuta kazi ya part time ktk ofisi yoyote inayohitaji urekebishwaji wa computer. Either kwenye maduka ya computer...
Mwalimu yeyote wa primary anayependa kuja Wilaya ya Monduli kutokea Mkoa wa Kilimanjaro Dar na wilaya ya Meru au Arusha awasiliane na mimi Ili tubadilishane Aje Arusha. 0755883313.
Wana jamii, Mimi nilfanya interview pale Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA), Nafasi ya SENIOR BUSINESS ANALYST. Sasa kitu cha ajabu waliniuliza huko ninakofanya kazi nalipwa shilingi ngapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.