Hatimaye nmepata kazi kupitia hapa. Ushauri ni kwamba; kwa wanaotafuta kaz msipende kuchagua post. wewe ukiona post ya kazi tuma maombi. u never know. Mimi nliapply tu bila hata kujua mahali ofisi...
Natafuta mfanyakazi anayeweza kukaa kwenye internet cafe moja iliyopo Tabata Segerea. Awe mkazi wa Tabata segerea na ana ujuzi wa kutumia computer na microsoft office.
tuma maombi yako kwenda...
Waswahili wanasema mficha uchi hazi,
Ni mwaka wangu wa mwisho sasa chuo kikuu, Semester hii nimeshindwa kulipa ada kwa sababu ya ukata. Nimesoma kwa shida sana mpaka kufika nilipo sasa, nimebakiza...
mimi ni mwalimu wa sekondari MBEYA wilaya ya Rungwe natafta mtu wa kubadirishana anae toka Mkoa wa NJOMBE.... unaweza ni PM au mawasiliano 0753210877 au 0712765157 or me4tz@yahoo.com
habari wanajamvini tunataka mwalimu wa kufundisha computer course mafinga kwenye chuo cha usecretary kimesajiliwa na veta. Kama uko tayali tuwasiliane kwa maelezo zaidi. Mshahara ni maeleweno...
For those who are looking for:
1. A legal Extra income from their own effort and their network
2. Financial Freedom
3. Their own business
4. More spare time
5. Personal Development
6. Helping...
Nina mdogo wangu anatafuta kazi ya udereva ana uzoefu mkubwa na anaendesha magari makubwa na madogo anavyo vyeti vya VETA na chuo cha usafirishaji.
Naomba kwa wenye ma kampuni au mtu mwenye...
If you need challenging job,apply as per advert.
EXECUTIVE
DEVELOPMENT
CENTRE
Our Client, a regional company with offices operating in Ghana, Tanzania, the
Democratic Republic of Congo and a...
If you are interested in this position peruse the advert and respond accordingly:happy:
EXECUTIVE DEVELOPMENT CENTRE
Our Client, a regional company with offices operating in South-Eastern Africa...
Msaada wa haraka ninahitaji kutoka kwenu wana JF.
Nimepewa kazi ya kutengeneze plans+activities zake kuhusu environmental sensitization/protection/awarenes huku Moshi vijijini. Tatizo sijui pa...
Malaysia International Scholarship (MIS)
The Malaysia International Scholarship (MIS) is an initiative by the Malaysian Government to attract the best brain from around the world to pursue...
Timu ya vijana watatu (promoters) iko katika mchakato wa kusajiri Kampuni ya Ujenzi (Nyumba na Barabara). Elimu na ujuzi wao uko katika masuala ya Biashara, Usanifu wa Majengo na Fedha. Ili...
Wandugu naombeni msaada kwa yeyote anaejua kuhusu hii kazi (SALES OFFICER TRAINEE) i.e salary & duties maana sielewi kitu zimetangazwa na TSN(Tanzania Standard Newspaper.:caked:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.