Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
ANAHITAJIKA MTU AMBAYE ATAKUWA TAYARI KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI KUTOKA NMB DAR ES SALAAM AENDE NMB ARUSHA MJINI. POST YA KUBADILISHANA NA BANK TELLER Natangauliza shukrani zangu za dhati.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
VINGINE HUWA HAVITANGAZWI ILA KUVIPATA NI KIRAHISI. NIKIWA ZIARANI NIMEONA HIZI POST..... NAAMINI UTAFARIJIKA MAANA HUKO KULIVO PEMBEZONI ZIMESHATANGAZWA MARA KADHAA ON NOTICE BOD BILA KUPATA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
We provide access to a variety of TOEFL, GRE, GMAT, SAT, and LSAT test preparation materials, including sample questions, practice tests, interactive skill-building programs and much more to make...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni takribani miezi minane sasa wahitimu wa taaluma ya ualimu wako mitaani. Serikali imekuwa ikitaja kuwa moja ya sababu za kuwa na matokeo mabaya mashuleni ni uhaba wa walimu. Naibu Waziri wa...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Wana jamvi la jamii forum humu ndani kuna watu wa aina mbali mbali nimekaa mtaaani naona kunanishinda kila siku kuangalia mzazi anaenda ofisin anaona huyu mtoto mbona hapati kazi nimejitaidi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau kuna nafasi za kazi hizo hapo chini please confidently apply: Chief Accountant HR Coordinator Pre-sales engineer - ICT ICT Sales (Multiple roles)Kindly find the attached documents for JD and...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Je ungependa kwenda kusoma na kufanya kazi katika nchi kama canada,usa, malaysia, uckrain au china? SISI GLOBAL SOURCE WATCH tutakuunganisha kwani sisi ni wawakilishi wakuu hapa nchini tanzania...
3 Reactions
22 Replies
10K Views
jamani mi niko universty nasoma bba in accounting with education, kuajiriwa naona ni manyanyaso sana natamani kujiajiri na nimeplan kujikita kwenye kilimo na ufugaji, lakini naogopa risk...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
natafuta kazi ya COMPUTER MAINTENANCE NA NETWORKING NA ELECTRONICS
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni msaada wenu wana jf, post za ualimu sekondari ni lini maana nimesikia tu jama naibu waziri kazungumza ila sijajua ni lini amesema atatoa post hizo.
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Dah wakuu kwa wanaofahamu lini wizara ya mifugo na uvuvi itaajir naomben taarifa manake 2meshasota sana kitaa ..
0 Reactions
6 Replies
3K Views
naombeni msaada kwa anayejua shule inayohitaji mwalimu wa masomo hayo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimeitwa kwenye interview lapf-dodoma kwa post ya information system audit,so msaada kwa ambaye alishafanya interview lapf,aina ya maswali ambayo huwa huulizwa ama maswali ambayo huulizwa kwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Natafuta mwalimu wa sekondari tubadilishane vituo ili aje Kahama mjini. Mimi napenda kuhamia manispaa ya Dodoma, Morogoro, mji wa Kibaha, Bagamoyo au Dar-Es-Salaam. Aliye tayari tuwasiliane 0774...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yule Rachel anaendelea kutapeli jamani, leo nimepokea msg kutoka kwake, anadai kuwa niliomba kazi ya account wakati sikuwah kuomba hiyo kazi kwani siyo professional yangu, msg inataka kufanana na...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
wanajamvi mimi nimepata kaz shule binafs, nina degree BAED lakin wenyeshule wanataka nisain mkataba wa miaka 3 kwa mshahara wa Tsh 450000, je nisain au nimsubr 0lugo?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana JF kwa anaejua zile post za national facilitator za wizara ya habari,utamaduni na michezo zilizo tangazwa mwezi septemba anijuze kip kimeendelea maana naona kimya kingi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mwenye taarifa zaidi kuhusu kupata kazi za SAP naomba anijuze, natafuta kazi kwa udi na uvumbau
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wadau inasemekana kuwa ajira za walimu kuanzia daraja la tatu na stashahada zimesitishwa kwa kuanzia mwaka 2011-2013 ni habari kweli?? au ndo mana hadi sasa hakuna hata dalili za walimu walio...
0 Reactions
30 Replies
13K Views
Back
Top Bottom