1. Lease Sales Executives
Position: Sales Executive (5)
Reporting to: Lease Officer
Location: Any region in Tanzania
Responsibilities
The Lease Interns will be responsible for handling leasing...
Sijawai beba vipeto vya sukari hata kwa siku maisha haya, yani naambiwa nishushe sukari wakati nimesoma. Et wanataka wapime uchapaji wangu kazi ndo kwa kushusha sukari lorry Zima? No narudi maskani
Kevin Schmidt, wa South Dakota hulipwa kiasi cha U$20,000 kila miezi sita kwaajili ya kupanda futi 1500 juu ya antena ya KDLT-TV kubadilisha Taa huko Salem.
Antenna hiyo ya TV na Radio ya KDL ni...
VACANCY ANNOUNCEMENT
LK Microfinance is a registered Micro Credit company in Tanzania located at Win Win Shopping centre, Mbezi Beach, Plot No157, Kinondoni Municipality, Dar es Salaam. The...
Mambo vipi ndugu zangu wa JF mko vema kabisa na mnaendelea na mapambano.
Ombi langu Natafuta kazi yoyote tu mimi ni kijana miaka 27 sina ujuzi wowote, napatikana Mara.
Natumaini ntapata kazi...
Habari wakuu kwema nyote, natumaini hamjambo wote,
Sawa baada ya salamu naomba nije kwenye jambo langu hili, mimi ni kijana jinsia me miaka 27 nipo musoma, natafuta kazi yoyote iwe na angalau...
Habari,
Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu katika chuo cha uhasibu Dar es salaam kwa ngazi ya Degree (Degree in accountancy) kwa sasa napatikana Dar es Salaam. Natafuta kazi ya uhasibu katika...
Habari za wakati huu wakuu,
Nimewahi kuandika mada kuhusu space research kwa hapa Tanzania na matamanio yangu kama raia wa Tanzania kuanzisha au kua na kitu kwaajiri ya research za kisayansi kama...
Nina uzoefu wa miaka 5 katika mauzo ya Sola kwenye kampuni ya offgrid electric power maarufu kama Zola. Mpaka sasa nafanya kazi katika kampuni hiyo
Nilianza kama afisa mauzo wa kawaida na badae...
Aisee wewe acha kabisa, sikia tuu story kwa watu ila omba yasikukute au uwe ushapita kwenye kipindi kama hiki, ni ngumu sana kukubaliana na hii hali ya kukosa ajira hasa ukikumbuka miaka mingi...
Position: Field Agronomist (2 positions)
IFDC is a public international organization active in 27 countries in Africa, Asia, and America. IFDC uniquely approaches the global issues of food...
Fundi mzuri wa kushona nguo za kiume na kike, anahitajika; akiwa ni wakike itakuwa vizuri zaidi.
Malipo:
3000 kwa siku + 10% ya faida katika mauzo kwa mwezi
Faida zingine:
Chai ipo (free)...
Position: HVAC Mechanic (NEC)
Duties
The incumbent reports to the Building Engineer Supervisor. The incumbent is employed as a journeyman level Heating, Ventilation and Air Conditioning (HVAC)...
Position: Relationship Manager – Public & High Net Worth
Key Responsibilities:
Grow portfolio value in line with agreed targets. This is achieved through cross sell or up sell by providing a...
Position: Coordinator 1 – Training (Dump Truck)
Contract type & Duration: Unspecified Time Contract
Department: Human Resources
Reporting to: Underground Mining Training Specialist
Number of...
Habari wakuu, katika kuendeleza tasnia ya ulinzi na kuboresha hali ngumu ya maisha, tunataraji Ku lunch kampuni yetu mpya ijulikanayo Kwa jina la LISAH SECURITY SYSTEMS ambapo pia tunataraji kuwa...
Habari wana jukwaa
Naomba msaada anaejua wapi naweza kupata kazi hata part time tu zinazohusiana na afya zile basics hasa mapokezi nikimaanisha kupima urefu na zile basic details kama BP sukari...
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, Mimi ni kijana mpambanaji maisha yamenipga balaa baada ya mambo kwenda ndivyo sivyo ...hivyo nahitaji kazi nipo Dodoma
.....Najua...
Position: Coordinator 1 – UG Mining Training
Contract type & Duration: Unspecified Time Contract
Department: Human Resources
Reporting to: Underground Mining – Training Specialist.
Number of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.