Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Mi nazidi kuishangaa nchi yetu hii aisee Yani mteue wakuu wa mikoa, wilaya, D.E.D na wengineo huko waliokaa kisiasa siasa mfike hadi kwa nafasi zilizosomewa kabisa ? Mwambieni Mheshimiwa Rais...
0 Reactions
2 Replies
348 Views
Ikiwezekana tuthaminishe na mauaji, dhuluma na unyanyasaji kwa raia wenzao, ndugu zao, au hata jamaa zao. Wenye data tafadhali. Nawasilisha
3 Reactions
117 Replies
62K Views
Hello Wanajf nimeitwa internship WVT kupitia Taesa ila ni mkoa tofauti na nilipo, kwa mwenye experience anijuze kama WVT wanalipa interns pia au inakaaje?
0 Reactions
3 Replies
553 Views
habari za wana jf hope mmeamka wazima mimi pia tafadhali kwa mtu yeyote amabye anajua mshara wa polisi kwa graduaetes naomba atuambie na sisi wengine tupate kujua,sitaki kujua mshara wa polisi kwa...
0 Reactions
28 Replies
46K Views
Mimi ni graduate wa Biotechnology and Laboratory Science Nimejaribu kujaza katika system ya Taesa nimeweka vyeti na kila kitu ila bado wana onesha academic qualification not filled kwanini?
0 Reactions
2 Replies
489 Views
Status:Job seeker Education:Diploma Professional: Pharmaceutical Technician Gender: Male Location: Mbagala now but popote nakuja Contact: 0620878245
0 Reactions
2 Replies
411 Views
Usaili wa nafasi za kazi jeshi la polisi umeanza October 31,2032. Mikoa yote nchi nzima. Baadhi ya mikoa wamemaliza usaili kwa ngazi zote, lakini mkoa wa Dar es Salaam bado. Usaili ufanyika ngazi...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
"Wanasema ukipanga Mungu anacheka" Elimu Ni Diploma. (2017 Bank & Finance). Umri :29 Experience: Niliwahi kuwa msaidizi wa muhasibu wakati nasoma. Pamoja na masoko na mauzo. Mtaani Mambo...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwanangu anatafuta kijana mmoja sharp wa misitu au mazingira.Soma Tangazo kama upo Kahama.Activities zitakuwa za kutosha .
5 Reactions
3 Replies
544 Views
Hello there! Kumekua na uhaba mkubwa wa ajira sana nchini kwetu, kiongozi sahihi atakae tokea kumaliza huu ukame atakua amesaidia sana taifa n hakika ataweka legacy kubwa kama ile iliyowekwa na...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Kwa wale walioomba nafasi mbali mbali za Kazi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mnaarifiwa kuwa kutakuwa na mtihani wa kuandika kwa tarehe tajwa hapo juu. Wale tu watakao faulu wataitwa kwa...
3 Reactions
82 Replies
69K Views
Habari wana JF Wadau, ni baada ya mda gani mtumishi wa serikali anaweza kukopa mkopo kwenye Bank kama NMB na CRDB. Na kiwango cha mkopo kinaweza kufika 30 M kwa mshara wa 1.2M kwa mwezi...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Naomba ushauri kwa watu wenye ujuzi wa hili. Ukiwa umeajiriwa taasisi 'x' kwenye kada ambayo ina uhusiano mdogo na kile ulichosomea na ukaona kuna nafasi taasisi y ambayo ndio ina uhusiano wa...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Habarini kampuni ya TEN ASSOCIATES inawatangazia umma kuwa tuna nafasi mbili wazi kazi ya usafi ofisini muombaji awe na cheti kutoka VETA Fani ya HOUSE KEEPING tuma maombi yako kupitia anuani...
2 Reactions
2 Replies
518 Views
Jana bana ile tunakula lunch ghafla story za kui jadili ofisi yetu (Moja ya Halmashauri nchi) zikaibuka. Aisee Kazi za Halmashauri ni local sanaa. Ila hoja aliyoibua Rais Samia akiwa Mara, haiko...
47 Reactions
98 Replies
16K Views
EFT CLEANING AGENCY LIMITED inatangaza nafasi ya kazi ya Fumigation Personnel Sofa . 1. awe na Umri usiopingua miaka 21 2. Awe na utayari kufanya kazi pale atakapopangwa 3. Awe amesomea fani...
1 Reactions
0 Replies
344 Views
Jamani kama kunamtu anaweza nisaidia kuingia kwenye kampuni la Pepsi ama coca kufanya kazi yeyotee. Naomba anisaidie. Binafsi nimejaribu mara kadhaa nimeshindwa. Niko Mbeya Iwambi
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habali nduguzo. Naombeni ushauri namna ya kuomba kibali cha kuonana na mkurugenzi au HR wa Taasisi tofauti tofauti. Nia na dhumuni, nina biashara yangu nataka ianzisha mda si mrefu ntakuwa...
2 Reactions
2 Replies
583 Views
Kama mada inavojieleza makosa baadhi Yanayotutoa kwenye placements kwa uzoefu mkubwa wangu ni huu Kipindi cha written interview 1 . Wasailiwa baadhi husahau vyeti vyao vya qualifications bila...
25 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari zenu wana jukwaa, Naitwa Twalib Jongo, Ni kijana wa miaka 33 Nimesomea fani ya Usimamizi wa biashara 2018 (Degree of Business Adminstration). Nna uzoefu wa kutosha kwenye tasnia ya...
1 Reactions
2 Replies
550 Views
Back
Top Bottom