Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Wadau JamiiForums, Naombeni kwa Yoyote anayeweza kunipa mbinu za kwenda dar kufanya interview Alafu nikimaliza nirejee kazini cku ya j3 maana interview yenyewe ipo dar na mm nipo singida. Je...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau Samahani Naomba msaada wa namna ya kuandika barua ya kurudi katika Utumishi baada ya kuondoka kazini bila kuaga na kupewa barua ya kufukuzwa kazi. Nilikua mtumishi katika wizara ya Elimu...
8 Reactions
69 Replies
9K Views
Maisha haya daaaah nina certificate ya Maendeleo ya Jamii, nina Diploma ya Maendeleo ya Jamii, na nina Degree ya Maendeleo ya Jamii na nipo mtaani tu sina kazi najipambania tu na vijimishemishe...
11 Reactions
15 Replies
1K Views
Nahitaji watu wanaoweza kusikiliza kiingereza kisha kuyaweka hayo maneno kwa maandishi. Kazi ipo kila wiki mara tatu, si zaidi ya dakika 20 kila mara. Ikizidi dakika 20 tutakuongezea mpunga...
6 Reactions
110 Replies
6K Views
Habari, Naomba mnisaidie sample questions za ICT technicians office for TRA written interview
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za Jioni wana JF, Moja Kwa moja Naomba niende kwenye mada yangu napenda kufahamu kitu flani hvi- Kuna jamaa angu aliomba kazi US- Embassy hapa DSM na akafanya usaili wa kingereza akapita...
0 Reactions
4 Replies
817 Views
Salaam wakuu, Nime ona ni share Fursa hi ya nafasi za kazi zilizo patikana 👉Wana hitajika wataalamu wawili, wa kushughulikia maswala ya umeme wa viwandani. 👉Pamoja na mtu anae jua lugha ya...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Habari mimi ni kijana wa miaka 24 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi yoyote halali ya kuniwezesha kupata kipato. Mf. Kuuza duka/ supermarket, kuwa cashier, kupokea wageni au kufundisha...
1 Reactions
7 Replies
847 Views
Mimi ni mgeni kwenye mtandao huu wa JamiiForums hivyo nahitaji kupata majibu yatakayo nisaidia kufikia malengo yangu
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Mdogo wangu amemaliza Diploma ya Marketing amefanya kazi kwenye baadhi ya cargo Dar es Saalam anauzoefu na marketing na hachagui kazi 0685141035 yupo Dar.
1 Reactions
1 Replies
431 Views
Position: Performance Measurement and Pay-for-performance Expert Grade: P3 Type of Contract: Fixed-term (Non-Core) Appointment Duration: Three years Organizational Unit: Postal Operations...
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Habari, poleni na majukumu Kuna kampuni nimesikia inaitwa BRAVO JOB CENTRE AGENT inatoa fursa za ajira za nje ya nchi nilitaka kufahamu hii kampuni Ofisi zao zipo wapi? na je Ni kweli hizo ajira...
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Habari wadau, NAOMBA MNISAIDIE MASWALI YA COMPLIANCE OFFICER FOR TRA WRITTEN INTERVIEW, ambao mmeshawahi kufanya. Pia naomba mnisaidie maswali ya ICT TECHNICIAN FOR TRA WRITTEN INTERVIEW.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu juzi nmeweka finger print pale NSSF naomba kujua kama mpunga watatoa wote je ndani ya muda gani kwa wenye uzoefu tafadhali mnijuze
1 Reactions
3 Replies
614 Views
Position: Digital Inclusion Expert Grade: P2 Type of Contract: Fixed-term (Non-Core) Appointment Duration: Until 31 December 2025 Organizational Unit: Policy, Regulation and Markets Directorate...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. TUNAOMBA serikali yetu sikivu ipige marufuku kujitolea ili vijana tupate ajira na pia kujitolea ni upendeleo nafasi hazipo wazi na mpaka uwe na connection...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala ya Tigopesa. Vigezo awe na uzoef kwenye kazi hiyo au uzoef katik tasnia ya uwakala. awe mtu wa kujituma na mwenye lugha nzuri kwa watu wote...
2 Reactions
3 Replies
485 Views
Kama wewe ni freelancers au ndo unaanza kazi ya freelancing basi sio mara ya kwanza kusikia makampuni, ikiwemo upwork, fiverr, guru, indeed, au people per hour. Na pengine ulishawahi kuomba kazi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wanajf, Naomba kwa yeyote anaefahamu TRA wanatoa aina ganii ya maswali kwenye written interview maana ndiyo mara yangu ya kwanza kuona interview ya civil engineering TRA, ninachojiuliza je...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Position: Site Engineer We are seeking an experienced Site Engineer with a focus on construction to join our team. The Site Engineer will be responsible for overseeing and managing construction...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Back
Top Bottom