Position: Assistant Program Accountant
Report to: Program Accountant and HJFMRI Contracts and Partnership Officer
Terms of Employment: One-year contract
Salary: TGS C
Major function of the...
Position: Program Accountant
Report to: Chief Accountant and HJFMRI Contracts and Partnership Officer
Terms of Employment: One-year contract
Salary: TGS E
Specific Duties and Responsibilities...
Position: Laboratory Technologist (8 Positions)
Report to: Laboratory Manager and HJFMRI Regional Laboratory Lead
Terms of Employment: One-year contract
Salary: TGHS B
Major function of the...
Hili suala kiukweli linafikirisha sana
Hii inakua ni kama upendeleo kwa wakazi wa Dodoma pekee na kuwanyima nafasi ya kushiriki watoto wa masikini wanaotokea mikoa mingine
Juzi juzi niliona...
Habari za jioni,
Ninaitwa Samwel Mayala Mimi ni chef mwenye uzoefu wa miaka 18 kwenye hotel.
Ninapika vyakula aina mbalimbali ikiwemo Tanzania na nji za mataifa mbalimbali.
Pia ninapika kwenye...
Habari wanaforum mimi mdada nimemaliza chuo 2020 nimesomea Counselling pyschology, natafuta connection ya ajira, pia nina uzoefu kwenye upande wa Sales and marketing, Tracking officer, Data...
Habari za muda huu wapendwa watanzania wenzangu,nipende kuanzisha jukwaa hili ili iwe rahisi kupata taarifa za kada husika, karibuni sana!
Mungu awabariki.
#Kaziiendelee
We are looking two persons who have the qualification of enviromental studies from any reputable institution with certificate or diploma for our project located at Geita urbun area.if you see you...
Mambo zenu wakuu kuna wale tuliopambana kufaulu mitihani ya written na kubahatika kuitwa Oral Dodoma na hatujaitwa kazini mpaka leo kwa kada za Afya, Maendeleo ya jamii, Afisa mifugo msaidizi II...
Wakuu mliopo mjuu naomba mtupe ndondondo za maisha ya kujitafuta kwa njia ya kupiga box visiwa vya malta.
Kazi za aina iyo zipo?
Kama zipo za je mgeni anaweza kutumia makeke gani kuzipata?
Na...
Habari wana Forum Mimi ni Msichana Wa Miaka 26 Nina Elimu ya Kidato cha Nne Kwa Ngazi Ya Cheti Ninatafuta ajira Nina uzoefu wa Kutumia Computer Kwenye Maswali ya Microsoft Word, Microsoft Excel na...
Habari Ndugu Zangu,
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 24 nina ishi mkoa wa Dar es salaam.
Nilihitimu masomo yangu katika ngazi ya Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari (Diploma in...
Habarini wana Jf, niende kwenye dhumuni husika, naombeni kazi au kibarua katika sekta ya Magari. , Elimu yangu ni Degree ya mechanical engineering ,
Nimezuiwa cheti kutokana na kushindwa kulipa...
Habari zenu,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 24.
Ninatafuta kazi yeyote ya kujikimu kimaisha kwa sababu ndio kwanza ninayaanza maisha.
Fani yangu ni ufundi umeme na nimefanikiwa kusoma veta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.