Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari JF. Naomba kuuliza hivi ukipeleka barua kwa mwajiri wako mfano mkurugenzi wa halmashauri akagoma kuipitisha barua yako, maana nimepeleka lakini ameirudisha bila kusaini wala kuandika...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimetuma maombi kwa nafasi zilizotangazwa na saccoss ,email haikwenda Majibu yamekuja kuwa EMAIL ZIMEJAA KWA MPOKEAJI, Mimi nimetuma Jana, Mwenzangu alituma siku ya tangazo jioni nae ameambiwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Je huu mfumo wa TRA kwa nini hawajaintegrate na mfumo wa NIDA ili kupunguza kupata data ambazo ni tatizo huko mbeleni. Je kwa nini wasingetumia mfumo wa TUME YA AJIRA AMBAO TAYARI UPO..... Kama...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Job Opportunity: Customs officer II (41 Posts) Responsibilities To control imports, export and transit goods. To carry out documentary verification. To prepare enquiries and offence files. To...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
KAZI YA KUWEKA GAMES KWENYE PC, PS3 NA PS4 🚨 MFANYAKAZI MWANAUME (MALE ONLY) ANAHITAJIKA AWE NAVIGEZO VIFUATAVYO: 1. Awe Anaishi maeneo ya riverside, mawasiliano, sinza, mwenge au ubungo , 2...
1 Reactions
2 Replies
732 Views
Job Title: ICT Officer II (64 Posts) Responsibilities To assists in capturing user Customer Requirement Specifications. To performs systems analysis and design. To implement software systems...
1 Reactions
2 Replies
948 Views
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imetangaza nafasi za ajira 524 ili kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na nafasi 206 za maofisa wasimamizi wa kodi. Tangazo la TRA limeorodhesha idadi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimetumiwa file ,PDF za Kaz za TRA ambazo Wametangaza nafasi mbali mbali ktk ofisi hyo ila Cha ajabu tangazo Hilo halipo katika portal za ajira portal yaan utumishi Ndio nauliza hapa utaratibu wa...
6 Reactions
65 Replies
7K Views
Tanzania Revenue Authority (TRA) Jobs June 2021, TRA Vacancies 2021, UTUMISHI TRA Jobs 2021 1. POST TITLE: CUSTOMS ASSISTANT II - 7 POST POST CATEGORY(S): ACCOUNTING AND AUDITING HR &...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Habari za leo? Mwalimu wa Chekechea ya English Medium (shule ya awali) anahitajika kwenye shule iliyopo Kilapula,Tanga. Anahitajika mwalimu mwenye taaluma ya ualimu na mzoefu na watoto. Mwenye...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hodi na Salamu Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Elimu yangu ni ya Secondary. Nimekuja kwenu Kuomba Connection ya Kibarua cha kulipwa kwa siku, Nimeandamwa na msururu wa Madeni ya Kodi na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Anahitajika matron kwa ajili ya kazi ya kuhudumia wanafunzi ndani ya mji huu wa DSM katika shule, majukumu ya mfanyakazi yatakuwa ni : 01. Kupika 02. Kufua 03. Kupiga pasi 04. Kusafisha mazingira...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ama kwa kweli kila hatua ina changamoto zake, japo makali ya hizo changamoto yanaweza kutofautiana!! 1. Changamoto moto kwenye hatua ya application: *Mtandao kusumbua wakati deadline ya...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Sina mengi ila Utumishi kwenye hii Interview ya Compliance Officer mmetuonea. Pepa imepigika Jumamosi, leo matokeo, mchanganuo wa marks hueleweki, watu 33 tu ndio wameitwa oral. Mnatufanya...
2 Reactions
61 Replies
6K Views
Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam. Kazi yeyote nafanya Kwa mawasiliano: 0672780428
1 Reactions
0 Replies
436 Views
Nafasi za JKT 2023 kwa awaye yoyote anayejua zinatoka lini
1 Reactions
15 Replies
7K Views
wizara ya afya jana imetangaza kumwaga ajira 8000 na hii ni kutokana na uhaba mkubwa wa watumishi katika hospital za rufaa, kwa hiyo vijana jiandaeni tena kufanya maombi ili mlambe asali
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Job Title: Legal Counsel II (12 Posts) Responsibilities To identify Court cases which are suitable for settlement out of judicial processes and recommend to the supervisor. To draft legal...
1 Reactions
3 Replies
607 Views
Back
Top Bottom