Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Naomba kuwasilisha na kupata mawazo na michango yenu wana jf hivi mnaonaje ajira za tra zikawa zinatangazwa na utumishi angalau kupunguza undugu na usiri wanaoufanya hawa jamaa wa tra, kwa sababu...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Vacancy - Tigo Pesa Post Title: Credit Risk Officer How to Apply If you are interested in applying for this position, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the subject line...
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Vacancy - Tigo Pesa Post Title: MFS Product Development Specialist How to Apply If you are interested in applying for this position, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the...
1 Reactions
1 Replies
479 Views
Vacancy - Tigo Pesa Post Title: Cyber Security Manager How to Apply If you are interested in applying for this position, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the subject line...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Vacancy - Tigo Pesa Post Title: Innovation Officer How to Apply If you are interested in applying for this position, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the subject line...
0 Reactions
0 Replies
415 Views
Job Details Altezza Traveling Limited wishes to invite competent, qualified, experienced, and dedicated Tanzanians to fill in the Food and Bavarage Manager position which is currently available in...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Nauliza,hivi inawezekana kubadili Kambi ya Mafunzo ya JKT?,Kuna mdogo wangu amepangiwa Kambi ya Mafunzo Kigoma!!,Sasa kutoka Songea mpaka Kigoma ni mbali Sana na ni gharama pia!! Kwa yeyote...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwalimu wa Tuisheni masomo ya sekondari anahitajika maeneo ya Mkuyuni, Mwanza. Pm kwa yeyote anayefahamu au kuwa na Tuisheni center maeneo ya Mkuyuni.
1 Reactions
4 Replies
546 Views
Hello wakuu, Nimefanya interview za utumishi 3 sijawahi pata hata Moja. Next week natakiwa niende tena Dodoma. Jamani naombeni mawazo yenu, ninaunga unga Sana kupata nauli ya kwenda Dodoma...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Salaam wadau, Kwa tuliosoma tangazo la nafasi za kazi Tanapa na kulielewa vizuri. Tafadhali nitofautishie tofauti kati ya post 14 za WILDLIFE LAW ENFORCEMENT na post 90 za WILDLIFE LAW...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini ndugu! Kuna mtu kanipiga swali nimeshindwa kumjibu,, yeye alikuwa mfanyakazi sehemu kwa muda wa Miaka 4 na mkataba umeisha juzi Tarehe 31/05/2023. Amekuwa akiulizia kuhusu kuongeza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limetangaza nafasi za ajira 166 kwa nafasi mbalimbali. Kiambatanisho kipo chini kwa taarifa zaidi ==== THE UNITED REPUBLIC OFTANZANIA PRESIDENT’S OFFICE...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Habarini wadau Nilikuwa naomba kujua ni yapi baadhi ya practice questions na answers, najianda na test ya TCB Bank jamani. Naombeni msaada
2 Reactions
70 Replies
11K Views
VKVT COLLEGE NAFASI TATU ZA KAZI YA UALIMU WA KUFUNDISHA UBUNIFU NA USHONAJI SINZA MAPAMBANO - DAR ES SALAAM SIFA ZA MUOMBAJI: . Awe na cheti au stashahada ya sanaa ya ufunzi katika ushonaji...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Dah nasikitika sana yaani unaweza kukata tamaa kabisa na ushahili wa PSRS unasoma unajiandaa vizuri kabisa unaenda kufanya mtihani unaufanya vizuri ulichosoma unakikuta kwa 100% na unatoka...
4 Reactions
86 Replies
5K Views
Habari zenu wakubwa napenda kujua/kufahamishwa nafasi za KUJIUNGA na JKT zinatoka lini?
3 Reactions
155 Replies
22K Views
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Mzee Ramadhani Nyamka, anawatangazia vijana walio orodheshwa katika tangazo ambao walifanya usaili wa kujiunga na Jeshi la Magereza kupitia Kamati za...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Haya madogo sasa changamkieni fursa --- 1 EMPLOYMENT OPPORTUNITY 1.0. INTRODUCTION Tanzania Revenue Authority (TRA) was established under the Tanzania Revenue Authority Act No.11 0f 1995. The...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Majina ya waliochaguliwa kujinga na JKT kwa Mujibu wa sheria hayafunguki. Mwenye link inayofunguka anisaidie please
1 Reactions
5 Replies
935 Views
Back
Top Bottom