Habari zenu ndugu zangu,
Nakuja mbele yenu ndugu zangu kuomba kazi/ajira kama nilivyoandika hapo juu.Naomba msaada wenu ndugu zangu.
Elimu yangu:-
1. Bachelor of Arts in Microfinance and...
Habari wana JF
Naomba mnishauri maana nmekwama. Jinsia yangu ni KE nina Degree ya Horticulture ni mambo ya kilimo cha mbogamboga, matunda, maua n.k
Sasa nmemaliza chuo yapata miaka mi5 sasa na...
Job Title: Senior Analyst-Margin Accounting
Duty Station: Dar Es Salaam
Job Details
The key purpose of the Senior Analyst – Margin accounting is to ensure completeness and accuracy of books of...
Job Title: Business Analyst
Duty Station: Dar Es Salaam
Job Description
Prospecting of potential customers and negotiating contracts.
Control over the term and condition of sales as specified in...
Job Title: Senior Sales Engineer
Duty Station: Dar Es Salaam
Job Description
Prospecting of potential customers and negotiating contracts.
Control over the term and condition of sales as...
Habari yenu wakuu, inawezekana mimi sijui utaratibu ulivyo lakini leo naomba ambaye anajua anieleweshe maana imeshanitokea kama mara mbili hivi katika harakati zangu za kusaka ajira.
Yaani...
Kila nafasi ya ajira inayotangazwa mm naomba, lakini hawaniiti hata kwenye interview. Je, nina Gundu au nimerogwa au Mungu hataki niende kwenye mishahara minono?
Habari Wapendwa, Nitangulize Shukrani kwenu kwa kuamini Busara na uelevu wenu wa kuchanganua na kusaidia Mambo mbalimbali. Hivyo naomba Mnisaidie.
Naitwa "Chilala Mlaponi" naishi Dar es salaam...
Hello Team,
Happy Holidays and nice to e-meet you!
I know that you are experts on video editing. Therefore I'm writing to ask you if you can work in Fusion/Davinci Resolve, we have a client who...
Habari zenu,
Naitwa Mary Emanuel Sumari ninaishi Mwanza na nmemaliza chuo kikuu cha SAUT Mwanza 2021 fani ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma.
Nina uhitaji wa kazi yoyote halali. Kwa...
Hi,
Naomba msaada anaefanya kazi halmashauri yoyote hapa dar anae weza nisaidia nikapata nafasi ya kazi yaani kujitolea nijishikize tu.
Nimechoka haya maisha hamuwezi amini najua ila ukweli ni...
Habari za Asubuhi watu wa MUNGU
Naomba kwa aliye kwenye Mchongo wa kazi ambao ni rahisi kuingiza Kibarua mwengine, Tafadhali naomba anivute huko.
Niko kwenye kipindi kigumu ever.
NB: KAZI...
Nina umri wa miaka 20 mkazi wa Dar es Salaam ninatafuta kazi kati ya hizo tajwa hapo juu na uzoefu wa kuendesha magari wa miaka 2 pia nakazi za nyumbani.
Elimu yangu ni form four level pia na...
Habari wanajamii,
Mimi ni kijana mwenye shahada ya uhandisi mitambo (Bsc in Mechanical Engineering) naishi Dsm. Jinsia ME,
Kwasasa sina kazi yoyote, hivyo kama kijana mwenzenu nnaetafuta...
Habari! Chills Logistics Company Ltd tunakuletea fursa ya kazi kwa madereva wote
Sifa:
1. Uwe na leseni hai
2. Uwepo Dar es salaam
3. Uwe na uzoefu wa miaka 3 na kuendelea
4. Uwezo wa kufanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.