Tofauti na zamani kwenye matangazo ya kazi mbali mbali hivi karibuni serikalini kumekuwa na uhuru wa watumishi kuomba hizo kazi ila kigezo kimojawapo ni kutakiwa kupitisha barua ya maomba kwa...
Habari zenu wakuu wangu! Eti, hivi salary ya Assistant lecturer huwa ni sh.Ngapi? Je,huwa kuna utofauti kwa private universities vs public universities kwa hiyo salary? And what about other...
Habari ndugu zangu, naomba msaada wa maswali ya written yaliyowahii kuulizwa kwenye USAHILI wa shirika la relii Tanzania kada ya civil engineering technician utumishi.
1.
Hello!,
1.
Dear Team,
I'm seeking for someone with 2-4 years experience in a hot kitchen as well as bakery.
Please send me your CV at thomalbert91@gmail.com if you have the right...
Wakuu vipi hali?
Nikiwa siti ya pili toka nyuma kwenye basi nikitafakari na kupitiwa na usingizi namna nilivyokosa maksi 3 niingie oral kwenye written ya utumishi pale CIVE(AUDITORIUM).
Mara...
Njoo Dar ujifunze maisha. Kisha rudi mkoa.
Chunguza machine itakayokufaa kwa fani uliyonayo
Baada ya miaka 2 chunguza rudi tena mkoa ukiwa na mashine mpya.
Sasa anza kutoa bidhaa kupeleka...
Waungwana habari za majukumu.
Naitwa Saidi natokea maeneo ya pugu wilaya ya ilala mtaa wa bombani mkoa wa Da es Salaam.
Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari aina ya Noah naitaji kwa...
Niende kwenye mada moja kwa moja
Mimi ni mwalimu kiwango cha elimu ni diploma katika masomo ya PHYSICS na BIOLOGY.
Baada ya misukosuko ya ualimu ikiwa ni pamoja na kupigwa na maisha vizuri tu...
Habari wanajamii forums.
Kwa wakazi wa Arusha mjini na maeneo ya jirani, Mwenye kufahamu au connection jinsi ya kupata kazi za viwandan iwe kibarua au ajira ya kudumu. Ni viwanda vipi vinatoa...
Natumai sote tuna taarifa BUNGE letu lilitangaza nafasi za kazi hivi karibuni.
Naomba kufahamu kama kuna yeyote aliyefanikiwa kutuma maombi ya nafasi ya mwandiishi wa taarifa rasmi za bunge.
Habarini wana JF
Msaada wa maswali wanayoulizaga kwnye written interview ya utumishi..nmesoma business administration naenda fanya interview ya compliance officer WCF
Habari,
Jamani naombeni msaada katika hili Kuna kazi za muandishi wa taalifa rasmi za bunge
Kwa sisi wenye shahada ya Human resource management ilikubali kuomba ila majibu baada ya kutoka Ni...
Habitat for Humanity International (HFHI) is looking for a compelling, transformative, National Director (ND) to lead the National Organization (NO) in fulfilling its critical, complex role as a...
VACANCY ANNOUNCEMENT
(Immediate Recruitment)
Background
The National Council of People Living with HIV (NACOPHA) is a national Non-Governmental Organization responsible for coordinating efforts...
With over 70 years of experience, our focus is on helping the most vulnerable children overcome poverty and experience fullness of life. We help children of all backgrounds, even in the most...
Unajua asilimia 90% ya madereva wa Uber na Bolt husababisha hasara na uharibifu wa magari....
•Je Dereva wako msumbufu kwenye kuleta hesabu?
•Je hauna muda wa kusimamia service ya Gari yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.