Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
EMPLOYMENT OPPORTUNITY East African Community (EAC) – the European Union (EU) CORE programme is financed under the 11th European Development Fund (EDF) and has an overall objective to support the...
0 Reactions
0 Replies
485 Views
Resettlement Assistant Kigoma UNHCR The UN Refugee Agency Organizational Setting and Work Relationships A Resettlement Assistant position is typically located at Multi-Country Office, Branch...
0 Reactions
3 Replies
713 Views
Natafuta alosoma degree ya procurement (watu wawili) diploma ya secretary,na degree ya uhasibu mkoa wa Ruvuma ni pm chap!!!!!!."Tusome vizuri nilichokiandika.....mnao ni pm tuzingatie mkoa tajwa...
6 Reactions
0 Replies
606 Views
Mtanisamehe uzi hauna picha. Nikiwa hapa hotelini Kampala nilipigiwa simu asubuhi na mapema kuwa mtoto wa shangazi yangu jina kapuni kapata kazi nchini India japo ni kazi za ndani ila wanampa...
4 Reactions
103 Replies
6K Views
Recruitment portal ya sekretariet ya ajira inasema sina qualification za kua-apply vacancy huku kila kitu kiko sawa na nilisha-apply vacancy zingine hapo awali. Kuna mtu anakumbana na hii adha...
1 Reactions
46 Replies
11K Views
Nasikia kuwa utumishi hawawezi kuita watu Usaili Dodoma kwa kada yoyote Ile mpaka sensa iishe, yaani watu waendelee kusubiri hadi kuanzia mwezi September huko na kuendelea (kwamba wanahisi...
5 Reactions
14 Replies
943 Views
Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana (ME) nina umri wa miaka 20. Ninaishi mkoa wa Arusha. Nina shida sana hali ngumu ya maisha Hadi naanza kuta tamaa . Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
POST SECURITY ASSISTANT – 5 POST POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION LEGAL EMPLOYER Tanzania Ports Authority (TPA) APPLICATION TIMELINE: 2022-03-29 2022-04-11 JOB SUMMARY NA DUTIES AND...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
LAKE ALUMINIUM TRAILER LTD LOCATION: Kibaha Pwani We are urgently recruiting the following positions: 1. Fitter Technician (lathing, milling, sawing, drilling). Post 1 2. Fitter Technician...
4 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari ya muda huu wakuu, Niko mbele yenu muda huu kuomba msaada wa kupata kazi yoyote halali. Nina shahada ya uuguzi( BSc Nursing) nina uzoefu wa kufanya kazi wodini na kwenye miradi hivyo...
1 Reactions
7 Replies
715 Views
Job #: req16582 Organization: World Bank Sector: General Services Grade: GF Term Duration: 3 years 0 months Recruitment Type: Local Recruitment Location: Dar es Salaam, Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
836 Views
Habari, Wadau naomba kuuliza hivi hawa Wakala wa Viwanja vya Ndege - TAA wameshaita watu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili? Maana tokea nilivyoomba hamna updte yoyote ile mwezi wa pili sasa huu
1 Reactions
2 Replies
1K Views
ALERT 🚨 🚨 🚨 Huko katika kata ya kitulo mkoani njombe aliyekuwa mwenyekiti wa usahili Agizo chapel tweve ambaye ni mwl.mkuu kampitisha mke wake Vailet sanga nawakinga wenzao naanajisifia hawez...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Habarini wakuu! Mimi ni kijana wa miaka 24 ,Naishi Mtwara kwa sasa.Ni kiziwi nilipata hili tatizo nikiwa darasa la pili mwaka 2003. Nasikia na kuzungumza na mtu vizuri tukiwa jirani...
25 Reactions
131 Replies
17K Views
Me nikajana ambaye nmemaliza chuo cha maji na ninauzoefu mzuri wa kufunga maji majumbani na kufanya tasmin ya uhataji wa mabomba na michoro ya nyumba yako pia ninafanya marekebisho madogo madogo...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wadau! Mimi ni kijana, nina umri wa miaka 26 ni mhitimu wa shahada kwenye kada ya logistics na usafirishaji mwaka 2019 kutoka chuo cha Taifa cha Usafirishaji. Nimejaribu kutafuta kazi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya kidato cha sita wenye ufaulu mkubwa. Nilikua nasoma chuo ila nikasimamisha mwaka 2019 kutokana na hali ya kifedha...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, mtaani mambo magumu najaribu kupambana ila bado hali si hali. Kwa hiyo naomba kwa yeyote mwenye connection ya kazi yoyote kwa Dodoma au Dar es salaam anisaidie. Elimu na ujuzi wa ziada ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Supervisory Telephone Technician Dar es Salaam US Embassy Dar es Salaam The mission of the United States Embassy is to advance the interests of the United States, and to serve and protect U.S...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
4 Land Surveyors Morogoro, Dar es Salaam JVACEE, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) In joint venture with The Arab Contractors of Egypt (Osman A. Osman & Co.), ELSEWEDY ELECTRIC is...
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Back
Top Bottom