Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Waajiri wengi wanatumia video conference kama njia ya kufanya initial pre-screening interviews, na vilevile hutumika kwa watu walio mbali na eneo husika. Njia hii ni tofauti kidogo na njia ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi Nilihitimu Chuo 2015 Kada ya ELIMU baada ya Changamoto ya Ajira kuwa kubwa nililazimika kujiajiri Kuuza duka la Chakula hapa Dar es salaam. Nimebahatika kupata Nyumba (Kibanda) lakini...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Hello marafiki wa JF Naitwa EMMY WILLIAM ni na miaka 26 nina elimu ya certificate in IT (imformation and communication technology) nna uzoefu wa kazi mbili tofaut kazi ya cashier nlishafanya royal...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wapendwa mimi ni bint mtanzania wa miaka 23, nimesoma pharmaceutical science miaka miwili pia nimefanya kazi ya sales and marketing katika kampuni ya East Africa Fruits kwa muda wa miezi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwalimu wa Kemia na Baolojia anahitajika. Shule ipo Dar es Salaam, Kiluvya, Wilaya ya Ubungo.
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Nataka kujua kama majina ya watu waliochaguliwa kufanya kazi ya makalani kama yametoka au vp?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Tupeane maarifa wajomba huu ndio muda wa kupigana kampani. Uzi huu utasaidia wengi maana tumesoma shule tofauti tofauti
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Majina Haya Hapa
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna jamaa angu kaajiliwa huko halmashauri kama account officer Jamaa ni klilaza.hajui hata kutumia account package yeyote.
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Aisee kama hupati muda wa kureview kutoboa written ya utumishi na halmashauri itakuwa ndoto. maswali magumu alafu unapewa dk 45, nmeyasoma nimeishia kuopaa njaa. Kwa wale fresher inawawia urahisi...
4 Reactions
37 Replies
14K Views
Mgahawa uliyopo kinondoni Dar es salaam unatangaza nafasi za wahudumu. VIGEZO ★Awe MSICHANA ★umri 18 -27 ★Mkazi wa Dar es salaam ★Mchapakazi na mvumilivu ★Elimu kidato cha nne na kuendelea...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Position Summary: Tembo Nickel is seeking to recruit Community Relations Lead for RAP Social Safeguards to join Tembo Nickel Project Team. We are looking for a driven and proactive implementer...
0 Reactions
5 Replies
902 Views
Naitwa Mustapha Rajabu. Nina umri wa miaka 28 naishia Dar Es Salaam maeneo ya Tabata Bima. Ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo, nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 5 hivyo ninao...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Chuo kilichopo jijini Mwanza kinatafuta mwalimu wa kufundisha program za microsoft office suit . Awe anajua angalau software mbili kati ya hizi, Microsoft Word, Microsoft Excel, Microsoft...
1 Reactions
2 Replies
834 Views
Habari za leo wanajamiiforums. Naomba mwenye connection ya kibarua chochote cha malipo ya siku kwa Dodoma aniunganishe. Nitatoa shilingi elfu kumi(10,000) kama shukrani. Naweza kuwa kondakta wa...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu habari, Samahani kwa wanaolifahamu hili jambo la mshahara wa broadcast technician ni kiasi gani? Na je, broadcast technician anakuwa anafanya mambo yapi haswaa?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
About Tembo Nickel Corporation Tembo Nickel Corporation (“Tembo”) is an operating company formed via the Framework Agreement (19 January 2021) between Kabanga Nickel Limited and the Government of...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jobs in Tanzania 2022: New Job Vacancies at Impala Terminals Tanzania, 2022 Position: Finance Officer Full Time Main Purpose The Primary function of this role is to support the Finance Manager...
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Jobs in Tanzania 2022: New Job Vacancies at Innovations for Poverty Action (IPA) 2022 Associate Research Manager / Research Manager Overview Reports to Country Director Deadline to apply...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Sales Manager – Tanzania Dar es Salaam Computech Limited East Africa’s Leading IT Systems Integrator since 1987 with numerous accolades from different industries in Africa. The ideal candidate...
0 Reactions
0 Replies
403 Views
Back
Top Bottom