Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Wakuu habari za leo, Mimi ni binti wa miaka 22 mwenye elimu ya kidato Cha nne, nimesomea kozi ya Human Resource Management, pia ninao ujuzi wa kutumia kompyuta pamoja kusimamia maswala ya...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari wana jamii, Poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa jina naitwa kelvin nina umri wa miaka 25 naishi mbeya sae-Tanesco Natafuta kazi ya udereva katika campany yoyote inayojishughulisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna wanaosema ajira hizi za sensa wapewe ambao ni watumishi ili kudhibiti uzembe utakaojitokeza na wengine wanadai wapewe ambao hawana ajira ili walau wapate mitaji. Makundi yote ukiwasoma...
8 Reactions
32 Replies
5K Views
Naishauri Serikali isiwatumie watu ambao sio watumishi wa umma kwenye zoezi la sensa na sababu ni hizi. 1. Wengi wanaomba maeneo ambayo hawayajui hivyo wanalipua ili wawahi kuondoka mfano mtu...
7 Reactions
77 Replies
5K Views
Location: DSM Industry: Banking (Microfinance) DUTIES AND RESPONSIBILITIES Credit Officer Job Responsibilities: [emoji830]Meeting with clients interested in taking out a loan and providing them...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naitwa godfrey Nimesomea IT level ya degree nina uzoefu wa kufundisha chuo miaka miwili certificate na diploma...naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote
1 Reactions
0 Replies
397 Views
Jamani habari zenu!? Kuna Sister mmoja ni msusi mzuri tu(mitindo yote) anapatikana DSM maeneo ya kongohe, anatafuta sehemu ya kazi ya ususi, kwa hiyo kama kuna mtu anasehemu au ana connection...
0 Reactions
9 Replies
814 Views
Habarini Ndugu zangu, NAHITAJI MSAADA WENU KATIKA HILI 1. Ninapata changamoto hii ya suala zima la ANUWANI SAHIHI ya kujazwa kipindi natuma maombi ya kazi katika mfumo wa ajira portal. Mfano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza chuo course ya Bachelor of science in information systems mwakaa jana. Nimekuja kwenu kutela ombi langu kwa yoyote anaefahamu kama kuna sehem...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za Leo, Anahitajika dereva wa pikipiki kwa ajili ya kufanya kazi za mauzo, delivery na kutanua wigo wa masoko mapya. Tunajihusisha na uuzaji wa Viungo (Organic Spices). Vigezo. 1. Awe na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau! Natafuta pharmaceutical dispensar au Pharmtech assistant. Pharmacy ipo Sinza. Vigezo: [emoji842]Ni kwa watu waliopo Dar [emoji842]Awe tayari kufanya kazi muda wowote Whatsup me...
3 Reactions
3 Replies
895 Views
Posted on July 4, 2017 at 11:57 AM Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwasisitizia waombaji wote kusoma kwa makini tangazo la nafasi za kazi na kuzingatia...
9 Reactions
107 Replies
27K Views
Niko naomba nafasi ya assistant Nursing officer, sifa inayotakiwa ni An ordinary diploma in nursing, cha kushangaza nimeomba sehemu moja tu ya bugando, sehemu nyingine eti naambiwa sina sifa...
0 Reactions
11 Replies
890 Views
Habari wakuu, Ninaomba mwongozo hapa: Hili swala la kufanya oral interview then majibu hayatoki ( kuchukuliwa au la) then zinatangazwa nafasi mpya kada hio hio limekaaje hapo. Ni kwamba vigezo...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Vat leaching plant... Mfumo wa uchakataji wa madini ambao hufanya uzalishaji kwa Asilimia 70%. Ni mfumo ambao unatumia utenganishaji wa dhahabu na na madini mengine kwa kutumia kemikali(chemical...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahani Wana jamvi ningependa kufahamu ofisi za call centre ya Azam inapatikana wapi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Truly African We are a diversified standalone African financial services group, delivering an integrated set of products and services across personal and business banking, corporate and investment...
1 Reactions
1 Replies
503 Views
Safeguarding and Gender Advisor Join our team ADD International is looking for a Safeguarding and Gender Advisor to provide leadership and expertise in the area of safeguarding and gender and...
0 Reactions
1 Replies
381 Views
Career Opportunities: Service Crew (19197) Position: Service Crew Contract type & Duration: Unspecified time Department...
0 Reactions
1 Replies
613 Views
Back
Top Bottom