Wadau,
Leo tumekuja na fursa ya kazi (paid opportunity) kwa mafundi waliopo Dar es Salaam. Inaweza ikakufaa wewe au mtu unayemfahamu. Mfikishie taarifa hii.
Tunahitaji Mafundi 5 wenye ujuzi wa...
Mazingira ya hii kampuni tu hayajanivutia. Ni kazi ya mkataba wa mwaka mmoja(renewable). So naona siwezi kuendelea nao mbele.
Ndio kwanza nina week ya pili kazini ila nataka kuacha.
Mnanishaurije?
Habarini ndugu
Nimekuja mbele yenu ninaomba kazi yoyote ilimrad niingize kipato niwez kujkim mahtaj yang
Umri wangu 23
Jinsia kiume
Sehemu ninayoish Tegeta nyuki Dar es salaam
Kazi ninazoziweza...
Hi
Kuna kitu kinashangaza, hivi kwanini wanawake hawapewi nafasi sawa na wanaume kwenye kazi za udereva.
Je hawawezi, au Ni dhana ya kuwa mwanaume ndo ataweza kazi ya udereva.
Je kwa wewe...
Habari ndugu,
Kwa mwenye kujua maswali ya interview yanayoulizwa kwa nafasi za WARDEN UTUMISHI naomba mwongozo nipate mwanga. Nina interview wiki hii Utumishi.
Possible questions for WRITTEN...
SIFA
1. Umri usizidi miaka 30
2. Awe anajua kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha.
3. Awe na lugha nzuri kwa wateja na wafanyakazi wenzake.
4. Ajue kutumia kompyuta...
1. Nimepewa kazi ya kumtafuta mining Sorveyour mwenye uzoefu usio pongua miaka 2 akiwa kwenye mining industry.
2. Nikimpeleka mimi hatokua na usaili kwasababu ninaaminiwa na General Manager.
3...
Jamani kama mtu anafanya vizuri kwanini tusimpongeze?
Binafsi bado sijapata ajira ya serikali lakini nina matumaini makubwa kuwa Mambo yatarudi kama zamani.
Sasa hivi ajira zinatangazwa utumishi...
EMPLOYER: Parliament of Tanzania
APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kuandika majadiliano ya vikao vya Kamati na Bunge yaliyorekodiwa katika sauti;
ii...
Naomba kuuliza kua ni lini watatoa majina ya walioomba sensa na je watatumia utaratibu gani je kuna uwezekano wa form 4 kuchaguliwa akakosa wa chuo kikuu?
Asanteni
Umofia kwenu wana JF,
1. Kwa siku za karibuni kumekua na utaratibu mpya ambao ajira nyingi za serikali na taasisi zake zinahitaji kigezo cha cheti cha JKT. Hii imepelekea vijana wengi kukosa sifa...
1. Mention tools of the human resource officer
2. Vertical alignment is the alignment of hr practices with org toward achieving the org objectives. explain characteristics of vertical alignment
3...
Hivi kweli majina yametumwa halmashauri nachoamini huu mtandao hakuna habari fake fake werevu naombeni majibu sahihi kozi niko mbali na halmashauri niliyoombea nimesafiri dah
POST RECTOR – 1 POST
EMPLOYER: Institute of Accountancy Arusha (IAA)
APPLICATION TIMELINE: 2022-06-10 2022-06-23
JOB SUMMARY
The Rector must have proven experience to develop and coordinate the...
POST
AFISA UGAVI DARAJA LA II - 2 POST
EMPLOYER
Parliament of Tanzania
APPLICATION TIMELINE:
2022-06-11 2022-06-24
JOB SUMMARY
NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kutayarisha makisio...
POST COORDINATOR OF ADMISSIONS AND ARTICULATIONS II – 1 POST
EMPLOYER The National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET)
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND...
Abraar Computer Class.
Fursa ya ajira ya kudumu.
Kuna nafasi ya ajira ya Mwalimu wa kufundisha "short courses" za Basic Computer Applications.
Mwalimu awe na uwezo wa kufundisha kwa vitendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.