Masada kwa maombi ya ajira kwa TFS wameweka limiti ya umri miaka 25 kwa upande wangu nina umri wa miaka 26 ila inatimia mpaka 03 NOVEMBER je? naweza omba ajira hii ila Kwa upande WA vigezo vingine...
Nina duka la jumla nahitaji kijana mjuzi wa kuendesha pikipiki kwa ajili ya kusambaza vinjwaji
Eneo: Kimara
Njoo p.m tujadili
Vigezo vya kazi ni nidhamu na kujua kuendesha pikipiki
FHI 360 is a nonprofit human development organization dedicated to improving lives in lasting ways by advancing integrated, locally driven solutions. Our staff include experts in Health...
Natafuta Wafanyakazi wa ndani House boy na House Girl
*Mkataba wa kazi ni Miaka Mitatu
*Dar Es Salaam ~Kigamboni
Vigezo;
Awe na Hofu Ya Mungu
Awe Mkristo safi kabisa
Awe na Umri wa miaka 18-26...
Eneo la kazi Dar, Tegeta
Mshahara elfu 60
Nyumba ya watu wawili
Hakuna mtoto.
Kwa mawasiliano au kama kuna mtu anaye nicheki pm tafadhali
UPDATE:
Shukrani kuna mdau humu amenisaidia amepatikana...
Naombeni msaada tafadhali kwa mtu yeyote ambaye anafahamu viwanda vinavyo patikana Moro au Pwani.
Pia naomba ikiwezekana mnisaidie na hatua za kufuata ili niweze kupata kazi .
Elimu yangu ni form...
Habari,
Umri wangu ni miaka 28. Nimekuja kwenu kuomba ajira au mtu yoyote anayeweza kunisaidia kupata ajira.
• Jinsia: Ke
• Elimu: Bachelor Degree ya Commerce in finance (BCOM finance) pia nina...
Natafuta kijana wa kiume anayejua kutunza ng'ombe. Awe anajua kukamua maziwa pia
Mahali: Bagamoyo
Mshahara: 70000 kwa mwezi + atapewa chumba cha kukaa + atapewa chakula.
Kama unaitaji nchek...
Description
Role purpose:
• Manages all digital products and company’s online channels
• Proactively work with both IT and CORPS on improving digital customer touch
points
• Manage...
POST FOREST OFFICER II – 10 POST
EMPLOYER Tanzania Forest Services (TFS) Agency
APPLICATION TIMELINE: 2022-06-05 2022-06-18
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.To supervise planting and management of...
House girl anahitajika, mwajiri na eneo la kazi ni Dar es Salaam.
Sifa za aina msichana anaehitajika;
~Awe na tabia nzuri na atokee kwenye familia inayoeleweka
~Awe na umri kuanzia miaka 19 hadi...
Habari,naomba msaada kwenye usahili utumishi wanakubali kupokea loss report ya kitambulisho Cha taifa kilichopotea?wanahitaji uthibitisho Gani Kwa mtu ambaye kapoteza kitambulisho.
Heshima kwenu wakuu.
Natumai mmeamka vyema kabisa, naomba mwenye kufahamu anuani ya Jesuit Refugee Service (JRS) anisaidie niweze kutuma barua ya maombi ya kazi wakuu.
Natanguliza shukran kwenu...
Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.