Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Je ukiandiaka Application letter ambayo inazidi page moja Kuna shida? Mfano page mbili hivi. Naomben majibu
1 Reactions
51 Replies
10K Views
Urgent: Natafuta mwanasheria aliepo moshi mjini, karibu inbox ila uwe unajua kazi yako na gharama ndogo na nafuu kwa Mtanzania asie na pesa. Nawasilisha, bloggerboy
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Je kwenye uandishi wa barua ya maombi, anwani unaandika ya taasisi husika au unaandika anwani ya sekretarieti ya ajira? pia je barua ya maombi inawekwa pale kwenye kipengele cha Recomendation...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya ni makusudi ya wazi kwa Secretariat ya ajira kutangaza kazi za airport operations kwenda kufanywa na watu waliosoma laws huku wataalam wa LT wakiachwa Hapa Kuna mawili yawezekana watu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa, Tafadhali naomba tusaidiane maswali ya research na majibu yake ambayo ni common yanapenda kuulizwa kwenye usahili wa utumishi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nisaidien natafuta shamba..nipo kijijini huku litumbandyos.,ni mkulima mzoefu 0765050073
0 Reactions
1 Replies
944 Views
Habari zenu mabibi na mabwana,naomba kuuliza jamani eti ni shirika gani ama idara ya serikali gani inaajiri wenyewe bila ya kupitia utumishi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu inashangaza kwa kweli! Yaani mtu mwenye bachelor ya finance hatambuliki ajira portal wakati holder wa hii kitu anashiriki kozi nyingi za accounts akiwa chuo, in short mtu wa finance anapiga...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
PDF hiyo chini. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Heshima yenu wakuuu..Nina mdogo wangu wakiume umri miaka24.Ana diploma ya ualimu aliyoipata mwaka Jana.Kwa muda mrefu amekaa nyumbn akijishughulisha nashughuli za pale nyumbani hasa kilimo,ambacho...
2 Reactions
2 Replies
791 Views
Senior Technical Manager (Arusha) CVPeople Tanzania Arusha, Tanzania | Posted on 06/01/2022 Role and Scope; The Senior Technical Manager will lead our design and installation teams as well as...
1 Reactions
2 Replies
347 Views
Senior Administrative Officer Full Time Dar es Salaam FHI 360 FHI 360 is a nonprofit human development organization dedicated to improving lives in lasting ways by advancing integrated...
0 Reactions
2 Replies
420 Views
Project Coordinators – 136 Posts Full Time Rural Energy Agency (REA) REA is an autonomous body under the Ministry of Energy and Minerals of the United Republic of Tanzania. Rural Energy...
0 Reactions
2 Replies
738 Views
REGISTRAR - 1 POST EMPLOYER Tanzania Shipping Agencies Corporation (TASAC) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-01 2022-06-10 JOB SUMMARY To manage and ensure safety and quality of...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
The Institute of Finance Management (IFM) was established by Act No. 3 of 1972 to provide training, research and consultancy services in the fields of banking, insurance, social protection...
0 Reactions
1 Replies
796 Views
Hizi Ajira za Sensa ambazo sifa Ni nyepesi Sana. Hivyo waombaji watakua wengi itakayopelekea kuongeza ushindani. Tutarajie matapeli kuiltambaa na beat ili kuwapiga hao "makarani tarajali" 1...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni shirika gani la kiserikali linalotoa training Kwa waajiriwa wapi? Je, kuna mtu yoyote yupo training Kwa Sasa?
0 Reactions
3 Replies
832 Views
Wadau, tarehe 28 May Utumishi walitangaza nafasi za kazi kwa watanzania kada mbalimbali ILA Kuna kitu kimenichanganya hapa kama ifuatavyo: Haya matangazo yanaonesha yako mawili na hata idadi ya...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Jiajiri utaepukana na mateso manyanyaso na kuabudia binadamu asiye na shukran. Marais na viongozi wetu wanafanyakazi ya ziada Sana. Katika utendaji kazi Kuna Mambo mengi yamefichikamana. Hutaona...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom