Habarini za wakati huu. Kama tunavyofahamu zoezi la utumaji wa maombi ya Ajira linaelekea kutamatika lakini kiukweli Hali inatisha.
Kwa wale ndugu zangu walimu mtakuwa mmeona kwenye shule...
Kichwa cha uzi cha husika, hivi karibuni tumetangaziwa serikali kutoa ajira kada za elimu, afya, mifugo uvuvi na sheria .
Cha ajabu elimu na afya dirisha limefunguliwa vijana kuanza kutuma maombi...
Habari za leo wakuu. Kwa wale wenye diploma za ualimu tunaoomba nafasi za ajira tamisemi kwenye kipengele cha NACTE reg number tunajaza namba gani naona kwangu inagoma.
Kuna namba iko kwenye...
Habari wakuu,
Kwa wale WAOMBAO ualimu, Tamisemi Kuna kipengele kimeongezeka ambacho ni uzoefu wa kufundisha.
Kipengele hicho kipo baada ya sehemu iliyoandikwa viambatanisho vingine.
Kipengele...
Ajira ni ushindani!
Ukipata huku unaweza kukosa kule na kinyume chake.
Ukipata kote unachagua pa kwenda, iko hivo siku zote na wengine watafill hiyo nafasi!
Kwa nini tunawafundisha Watu...
Kuuliza sio ujinga, hivi Tamisemi wanatumia kigezo kipi kuajiri walimu wenye sifa sawa, mfano
Juma alimaliza 2016, masomo: Chemistry na Biology, umri 28
Àlex alimaliza 2016,masomo Ni Chemistry...
Nimefanya applications hizi nafasi mpya za TRA, nimeapply nafasi mbili ila utumishi wamesema tuombe nafasi moja tu hata kama mtu unaqualify zote. So nataka kuifuta nafasi moja ya Tax Management...
Habari wana JamiiForums
Hivi jamani wapo kweli watu waliopata kazi au ajira za kudumu kwa kutoa kiasi cha fedha (hongo, bakhshishi, takrima) au kupitia kwa waganga ili waweze kupata KAZI?
Msaada kwa aliyewahi kufanya Language(english) and Position test ubalozi wa marekani-job interview. nini cha kujiandaa vitu muhimu vya kuzingatia dondoo zote Muhimu. Asanteni
Naomba kuuliza ndugu zangu, ukisha fanya application na kumaliza, sehemu zote tunazo attach vyeti, unaweza ku-click attached PDF, ku-verify Kama vyeti ulivyo attach Ni sahihi .
Na je kitu icho...
Mheshimiwa waziri wa uchukuzi kila siku anakuja bandarini kuzunguka na kukagua ina maana hili suala tuseme halijui kuwa watu hawana mikataba na hawana vifaa vya kujikinga na pesa wanayolipwa ni...
Mdogu wa kike ana diploma ya nursing and midwifely, but katika kuomba ameniuliza kama anaweza kuomba nafasi ya muuguzi daraja II yaani wa certificate.
Anauliza kufanya hvyo kwasababu upepo kwa...
Job no: 496272
Work type: Temporary Full-Time
Location: Tanzania – Mwanza
Categories: Strategic Information/Surveillance/Monitoring & Evaluation
ICAP at Columbia University, a global health...
Heshima kwenu wakuu.
Kama uzi unavyosema kwa wale ambao waliomba nafasi za kazi Deloitte tayari wameshaanza kuwatumia email walio-apply hizo nafasi.
Sasa kama utaona kimya wiki hii yote...
Organizational Context
The United Nations Industrial Development Organization (UNIDO) is the specialized agency of the United Nations that promotes industrial development for poverty reduction...
Job no: 496269
Work type: Regular Full-Time
Location: Tanzania – Dar es Salam
Categories: Strategic Information/Surveillance/Monitoring & Evaluation
ICAP at Columbia University, a global...
Job no: 496273
Work type: Temporary Full-Time
Location: Tanzania – Mwanza
Categories: Research
ICAP at Columbia University, a global health leader situated within the Columbia University Mailman...
This senior manager is a member of the National Management Leadership team and provides leadership for all the work with local churches of the National Office/geography as it works to build the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.