Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari za wakati huu ndugu zangu, nina umri wa miaka 24 nimehitimu bachelor of arts with education (BAED) 2021 katika masomo ya Geography & Kiswahili, Napenda kuomba kwa yoyote anaeweza kunisaidia...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Huwa naingia majukwaa mbalimbali yanayotangaza ajira nadhani mara nyingi huwa naona kama changa la macho hakuna ukweli wowote juu ya uwepo wa ajira zilizotangazwa. Ikitokea kama kweli zipo basi...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Reference Number CCB220304-3 Job Title Quality Assurance Technologist Job Category Manufacturing Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type Permanent Location – Country Tanzania Location –...
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Reference Number: CCB220221-2 Job Title: Financial Accountant Job Category: Finance and Procurement Company: Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type: Permanent Location – Country: Tanzania Location –...
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Reference Number CCB220222-1 Job Title Controls & Governance Manager Job Category Finance and Procurement Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type Permanent Location – Country Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
524 Views
Reference Number: CCB220318-3 Job Title: Regulatory Affairs Specialist Job Category: Legal and Public Affairs – Communication and Sustainability Company: Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type...
0 Reactions
1 Replies
529 Views
Position Title: Caseworker Reports To: Field Processing Supervisor Division: Immigration & Refugee Program+ (IRP+) Department: Programs Job Location: Kasulu, Tanzania Grade Level: 4 (N), Associate...
0 Reactions
1 Replies
507 Views
Airtel Tanzania PLC wishes to recruit for Enterprise Operation Support Engineers-L1. The role reports to the NOC Assurance Manager. He/She will be responsible to ensure a 24/7 rota the highest...
0 Reactions
1 Replies
652 Views
Company Description At Infobip we dream big. Last year, over half of the world’s population interacted with businesses through the Infobip platform. It didn’t happen by chance: through 60+...
0 Reactions
1 Replies
524 Views
Habar wakuu katika mapambano ya ajira ningependa kufahamu wanatoa maswali gani katika kada ya accounts na format ya pepar za utumishi zinavyotokaa katika upande huo.. Natanguliza shukran naomba...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
looking for: Software developer / engineer, devops enginer job Sex: male Age: 27yrs Education Degree in ICT (upper second) Skills: i) Web app javascript, express js, node js, react...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
ASALAAM, KATIBU MKUU aliyekuwa secretariate ya ajira tunaomba ayangalie haya kipindi cha daudi yalisimama vizuri sana. Tunamuomba ayasimamie haya: 1. Usaili unapangwa zigzag tu mwanzoni...
-1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, naombeni sample ya application letter zinazotumika utumishi. Je inaandikwa kwa mkono au inachapwa maana nmeona natakiwa kusaini? Tafadhari naombeni msaada wa haraka
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wapendwa I hope ni wazima wa afya, naitwa Kelvin Dickson natokea Dar es Saalam natafuta kazi ya PC maintanance and Networking ambapo nimefanikiwa kupata certificate veta kipawa naweza...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Chekini akaunti zenu wadau walioomba
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu. Naomba mpitie Uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads/programmers-wa-blockchain-na-defi-msaada-tafadhali.1966108/
1 Reactions
2 Replies
620 Views
Binti wa miaka 19 anaomba kupatiwa kaz iwe ya duka au ndani. Mshahara kuanzia 100,000. Kabila ni mhehe. Mawasiliano yake tafadhali yafuate PM kwangu.
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini Humu ndani, Naombeni msaada au Mashauriano au Anayefahamu ni namna gani ya Kupata nafasi ya kazi katika Mashirika haya ya Umoja wa Mataifa UN, PWC, Delloite, EAC na Mashirika mengine...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Hongera Mama, Rais wetu Mh. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuupiga mwingi sisi watumishi wa Umma tupo nyuma yako katika kupeleka gurudumu la nchi yetu mbele. Nimeona nishushe uzi huu kukupa...
1 Reactions
1 Replies
993 Views
Proffessionally mimi ni mwalimu, masomo ninayofundisha ni Kiswahili na Historia. Nilibahatika kuajiriwa serikalini mwaka 2013. Kutokana na matatizo ya kifamilia nilikazimika kuacha kazi 2019...
11 Reactions
65 Replies
41K Views
Back
Top Bottom