Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari wanajukwaa naamini humu kuna watu wa aina Tofauti Tofauti na wengine wamepata kazi zao kupitia hili jukwaa. Hivyo nakuja mbele yenu kuomba Nafasi au Connection itakayonisaidia Kuweza kupata...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani nataka nitoke kwa mswahili nikafanye kazi na mhindi. Naombeni ushauri, tahadhari na maonyo niweze kufanya hiyo kazi. Muongee uhalisia ili nisije nikatupa mbachao. Uzi umeisha
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari zenu waheshimiwa.Leo nimeona tangazo la kuitwa watu kwenye usaili NHC & TPC kupitia utumishi kama ilivyo kwenye document niliyo attachment hapo chini , MimiBinafsi niliomba nafasi ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
I am an expert in GIS and Remote Sensing applications for Land Use Planning. Specifically, I often apply GIS analysis in Agricultural Crop Production and other related projects. I am a holder...
2 Reactions
2 Replies
626 Views
Habari za wakati huu wakuu, Leo nimekutana na jamaa yangu ivi muhitimu wa chuo kikuu akiwa anauza ubuyu ni classmate wangu primary, Basi tukapata wasaa wa kupiga stori mbili tatu ambazo kwa kiasi...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu Salam!! Je Kuna umuhimu wowote wa kuongeza kipengele Cha Career Objective na Personal Profile kwenye CV
2 Reactions
18 Replies
2K Views
About: Announcement Number: Dar es Salaam-2022-037 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Voucher Examiner (Alternate Cashier) Open Period:03/17/2022 – 03/31/2022 Format MM/DD/YYYY...
1 Reactions
4 Replies
842 Views
About Announcement Number: Dar es Salaam-2022-037 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Voucher Examiner (Alternate Cashier) Open Period:03/17/2022 – 03/31/2022 Format MM/DD/YYYY...
2 Reactions
3 Replies
776 Views
Nina mpango wa kufungua biashara ya ugali nyama/Samaki choma, supu N.K Nahitaji mtu aliyebobea katika upishi huu awe mbunifu na mwepesi wa kupokea na kutafakari mawazo mapya Lengo ni KUKUA...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wakuu! Wadau nina kampuni ya general supply ( building materials and stationeries). Naomba mwenge connection ya kazi mbalimbali huko kwenye maofisi tusaidiane wakuu.
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Background UNDP is committed to achieving workforce diversity in terms of gender, nationality and culture. Individuals from minority groups, indigenous groups and persons with disabilities are...
1 Reactions
3 Replies
560 Views
Tunahitaji walimu wa hesabu kuanzia form 1 hadi 6. Kazi inafanyika online na utapewa test kabla ya kuanza. Kwa mwenye uhitaji tuma email: rubysinc2012@gmail.com
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima kwenu wadau Naomba kujuzwa MDH wanalipaje kwa nafasi ya Data Officer nikiwa na maana ya mshahara na pia kama kuna posho zozote wanazotoa mbali na mshahara Au yoyote mwenye idea ambae...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Iko hivi Kuna mdogo wangu alifanya interview sehemu mbili tofauti ya kwanza ni taasisi ya Fedha ya pili ni taasisi ya Afya na kote akafaulu vizuri. Taasisi ya Fedha akaambiwa asubiri ataitwa...
1 Reactions
23 Replies
38K Views
Job Purpose: The Officer will oversee quality assurance, quality control, and customer service regarding the invoicing process; ensure adherence to proper invoicing procedures; and interpret and...
0 Reactions
1 Replies
624 Views
Job Description: Medical Officer (1) Medical Teams International Department: Program Grey Sections to be...
1 Reactions
1 Replies
737 Views
About PHSRF PHSRF is a non-governmental organization that was founded on demand-driven reasons for saving lives of Tanzanians. Formed out of former Angaza Zaidi program, a countrywide HIV and...
0 Reactions
1 Replies
478 Views
Unitrans Tanzania Limited currently has the following exciting opportunities at Kilombero and Kilosa Districts, Morogoro Region where is subcontracted for various agricultural operations to the...
0 Reactions
4 Replies
559 Views
Job Summary Reporting line- Senior Manager, ICT Security Job Summary Responsible for the Security Operation Center to Plan, direct and control the SOC functions and operations, ensure the...
0 Reactions
3 Replies
766 Views
Back
Top Bottom