Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Boss wangu alikua kanipa kazi niwapigie watu waje kwenye interview ya kazi ya Trainee iliyotangazwa hapa ofisini kwetu miezi kadhaa iliyopita. Surprisingly katika kupitia cv zao, nimeona kuna mtu...
15 Reactions
120 Replies
11K Views
Kwa mara nyingine tena kijana wenu nakuja kwenye jukwaa hili kuomba nafasi yoyote ya kazi ambayo itakuwa halali. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 27, Elimu yangu nina certificate of...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
About Tembo Nickel Corporation Tembo Nickel Corporation (“Tembo”) is an operating company formed via the Framework Agreement (19 January 2021) between Kabanga Nickel Limited and the Government of...
2 Reactions
1 Replies
737 Views
Ipi itamfaa kwa kujiajili na kuajiliwa kati ya hizo fani mbili wadau.
1 Reactions
27 Replies
6K Views
habari wapendwa!jina langu ni hilo lipo kwenye profile acount yangu,nina umri wa miaka 28,elimu yangu ni form four,nafafta kazi yoyote,mimi n dereva nina chart cha PSV veta pia nifundi wa body za...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, nina elimu ya kidato cha 4, nimefanikiwa kupata fani ya ufundi magari(truck mechanics) daraja la pili, nimehitim mwaka jana na kufanikiwa kupata ufaulu wa vc2... ila vyeti vya ufaulu...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi ni kijana umri miaka 33 ni dereva mwenye leseni daraja c kavu nimesoma NIT na nifundi magari makenika level 1 nimesoma veta ninao ujuzi wa kutosha kwenye ufundi na udereva niko tayari kufanya...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Naitwa Edward c. Bai nimhitimu wa ngazi ya level 2 upande wa ufundi wa magari na pia najua kutumia kompyuta natafuta kazi yoyote nipo tayar kufanya ktk mazingira yoyote ili mradi nalipwa mshahara...
2 Reactions
2 Replies
801 Views
Habary wana jamvi naitwa abdallah nipo level !! Katika fani ya umeme wa magari na nina leseni daraja D ,natafuta kazi marafiki zangu
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza, mimi ni fundi wa umeme wa magari (auto electrical). Natafuta kazi hapa Dar es Salaam. Elimu yangu ni Grade kutoka Chuo chaa Ufundi Ifunda na Veta...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wa ndugu nisaidien nina diploma ya Automobile engineering nimeipata pare chuo cha usafirishaji (NIT). 0782890195
0 Reactions
8 Replies
4K Views
ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an...
1 Reactions
0 Replies
480 Views
Position Overview: Associate Administration (Field Office) will act as the point of contact for all administrative work across all Field Offices. She/he will be based in Tanga field office and...
0 Reactions
0 Replies
514 Views
Role Purpose The Infrastructure Operations Specialist focuses upon administration of central and/or local data centres, legacy and/or centralized infrastructure, standards and requirements and...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Mmesikia Clouds FM Radio leo asubuhi kuhusu fursa mbalimbali za kazi huko Canada Kama kuna aliyesikia fursa za kazi zilizotangazwa na chuo cha N. I. T atujuze hapa.
0 Reactions
2 Replies
750 Views
Salaam wakuu, Mimi kama kijana nimekuja kwenu Kama Vile mama Samia alivyotuhasa kuwa kazi zipo nyingi mtaani. Mama anakazia hapa Vijana tujishughulishe sasa mimi nimechagua kuwa dereva wa boda au...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Requisition ID: req24125 Job Title: Senior Human Resource Manager Sector: Human Resources Employment Category: Fixed Term Employment Type: Full-Time Open to Expatriates: No Location: Tanzania Job...
1 Reactions
6 Replies
701 Views
Ni sehemu gani nzuri ya kupigia field ya umeme Niko mwaka wa kwanza MUST UNIVERSITY NGAZI YA DEGREE
1 Reactions
5 Replies
2K Views
EMPLOYMENT VACANCY URGENTLY REQUIRED 31 JAN 2022 POSITION: TEACHER (1 Post) JOB LOCATION: IFAKARA IFAKARA CATOLIC DIOCESE is looking for ONE MATHEMATICS TEACHER who can also teach Physics...
1 Reactions
0 Replies
516 Views
Back
Top Bottom