Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari za wakati huu waungwana natumai wote muwazima wa afya tele na kama kuna mwenye khitilafu za kiafya basi twamuombea kwa Mungu aweze kumponya amiin. Nilipost siku za nyuma kutafuta...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanaJF! Mimi ni kijana, mwenye umri wa miaka 24. Nimehitimu 2021 shahada ya Usimamizi wa Mifumo ya Afya (Bachelor's Degree in Health Systems Management) ya chuo kikuu Mzumbe. Kwasasa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za muda huu Wana JF Kama nilivyotanguliza hapo juu, maisha mtaani ni magumu sana, kama una roho nyepesi unaweza kata tamaa. Baada ya kumaliza chuo (bachelor of education) ndio...
6 Reactions
54 Replies
4K Views
ABOUT US At Ada, we envision a world where everyone has access to the healthcare they need. In one of the biggest challenges facing the world, we pioneered a new form of artificial intelligence...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima kwenu waungwana Naomba kujuzwa kuhusu Recruitment Agencies nzuri Ambazo zinatafutia watu ajira kwa sasa na hazina longolongo Yoyote anaezifahamu tunaomba atuorodheshee hapa pamoja na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wahusika mpitie mwito huu wa watu kuitwa katika usahili na kuombwa pesa. Kuambiwa interview itachukua muda mrefu na aliyealikwa ajilipie chakula. Huu ni uhalifu wahusika wachukue hatua.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Hello unemployed teachers! Poleni kwa kusubiri na bado mtaendelea kusubiri Serikali yenu bado INA mambo mengi ya kimaendeleo lakini haija wasahau . Leo tarehe 27/01/ ni birthday ya Mh. Rais...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Anahitajika kijana wa kiume kwa kazi maalum Dar Es Salaam na uwezekano wa kusafiri Mikoani. Malipo Tsh. 20,000 kwa siku. Awe na kiwango cha elimu ya Diploma au Degree, awe na uwezo wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi naombeni kujua huu mradi wa ela nyingi nimesikia umeanzishwa uko LINDI na nadhani utahitaji watu mbalimbali. Naomba kujua nafasi za kazi zinapatikana vipi uko, maana mimi nipo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za kwenu nyote Natafuta kazi ya stationary kwa mkoa wa morogoro/Dodoma Uzoefu ninao wa zaidi ya miaka 3. Vigezo vyangu katika kazi: 1. Nafahamu vizuri sana kutumia computer.. 2. Nina...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zanguni tangu tarehe 08/01/2022 kulifanyika aptitude test interview ya investigation office and assistant investigation kwa seem kama UDOM, MIPANGO, AND ST.JOHN wakasema watatoa majina kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wapendwa. Napenda kufahamu kitu kimoja jamani kwenye masuala ya uandishi wa barua ya kazi utumishi. Utumishi kwenye Ajira portal yao wanahitaji meombaji kazi aambatanishe...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari! Mwalimu /mlezi anahitajika Shule: Tiger Day Care Wapi: Dar- kinondoni-kawe Sifa: Awe amesomea uwalimu/ au malezi , awe anajua kingereza vizuri na nyimbo nyingi za watoto, upendo kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habar wakuu wa JF Napenda kujua kwanin nafas za kaz kwa watu wa level ya chini ya elimu ni ndogo hususan sisi watu wa vocational education kwa kila matangazo ya ajira au hata maofisin watu wa...
1 Reactions
3 Replies
582 Views
Serikali ilitoa maelekezo juu ya ajira kwamba halmashauri zenye uwezo wa kifedha ziajiri walimu kwa mikataba ili kupunguza gap LA walimu huko mashuleni, Mpaka sasa tunaona kimya Je. Halmashauri...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Introduction/Utangulizi Tuna kipindi cha tv ambacho kimepata tayari air time kwenye tv fulani nchini, aina ya kipindi ni kinahusu maswala ya teknolojia, pia tuna mpango wa kuanzisha chaneli ya...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari ya muda tena? Jamani niliona ni vyema nikapita tena apa nitangaze tena. Ninatafuta ajiri jijini Arusha iwe full time ama part time nipo. Nina skill katika matumizi ya computer, nina...
0 Reactions
4 Replies
552 Views
Research Officer Kasulu, Tanzania, United Republic of | req19167 Requisition ID: req19167 Job Title: Research Officer Sector: Education Employment Category: Regular Employment Type: Full-Time...
0 Reactions
1 Replies
720 Views
Back
Top Bottom