Grants Management Assistant
Location Tanzania
Workplace Kibondo
Contract Type National contract
JOB DESCRIPTION
Job title: Grants Management Assistant
Band: I
Reporting to: Grants...
Capacity Development Specialist - Tanzania Malaria Case Management and Surveillance
"Job Details"
Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
Job Identification 101343
Job Category Program...
Kazi niliiona tu kwenye site fulani inaitwa zoom nikaomba kizembe tu,last week wakaniita kwenye interview, ni wahindi fulani,leo wamenitumia email kuwa nimepata kazi na mshahara utakua laki 6 na...
Habari zenu viongozi kwa jina naitwa Yasser Mikidadi natafuta kazi ya kuendesha Uber & Bolt pia nina leseni class c1,c2,c3 ni kijana muaminifu na ni mchapakazi.
Kwa mawasiliano zaidi: 0623033336
Huwa nafanya Graphics lakini natumia simu na nishafanya na watu baadhi hususani wanaotengeneza products kama mafuta,unga lishe, album cover na vingine. Lakini kitu ambacho huwa nashindwa niombe...
Habari za siku ndugu zangu pia poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa.....
Niende kwenye Mada binafsi mimi nikijana wakiume mwenye umri wa Miaka 26 ,pia nimuhitimu wa Chuo fulani Ngazi ya cheti...
Ndugu madereva leo nimewaletea hii fursa
GARDAWORLD ni kampuni iliyopo ndani ya kampuni ya ulinzi iliyokuwa inafaamika kwa jina la K.K security.
Kampuni hii ya ulinzi ni miongoni mwa kampuni...
Wakuu salamu.
Ni miaka kadhaa sasa natafuta kazi kwenye hizi NGO wala sijapata.
Nina Degree ya Statistics and Mathematics,naomba kwa anayejua connection za kuniwezesha kupata kazi kwenye NGO...
EWURA MAKAO MAKUU DODOMA WANATANGAZA. KAZI NA HAWAITO WATU KWENYE INTERVIEW MATOKEO YAKE WANAAJIRI KINYEMELA.
Mfano ajira hii tangu itangazwe hadi leo Hakuna kinachoendelea ila unaweza Kukuta...
HABARI
Naomba kushare tangazo hili:
Anahitajika mfanyakazi wa kike
Umri kuanzia miaka 30-35
Mwenye uwezo wa kumhudumia mhitaji wa KIKE, mwenye uzito wa 200kg na kwa sasa kavunjika mguu
Maeneo ya...
Kijana ambao ni muhanga wa ajira kwa miaka zaidi ya 10 toka nimehitimu chuo kwa fani Ugavi nafarijika kwa juhudi, mbalimbali ambazo serikali imefanya na inaendelea kufanya kuakikisha inapunguza...
Construction Specialist (P-3) Dar es salaam, Tanzania#00119014 Temporary appointment 364 Days
Job no: 547692
Contract type: Temporary Appointment
Level: P-3
Location: United Republic of Tanzania...
Job Summary:
The incumbent will be contact person to customers on banking solutions. Responsible for advising bank customers on financial related issues. He/she will handle customers in a...
Habari zenu wakubwa na wadogo
Naomba kuuliza kwa wale ambao wamewahi kupata kazi au kushiriki usahili katika hii kampuni ya Alistair Group
Baada ya kufanya Aptitude test na ile interview nyinge...
Stores Assistant
Details
Reference Number CCB220110-3
Job Title Stores Assistant
Job Category Manufacturing
Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania)
Job Type Permanent
Location - Country Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.