Tanzania Commercial Bank is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products.
Tanzania Commercial Bank is a...
Namtafuta fundi nguo wa kike awe na umri chini ya miaka 33
Awe tayari kuhama alipo na kufuata eneo la kazi
Awe tayari kujifunza ujuzi nafasheni mpya.
Ashone nguo za kiume na kike kama hajui...
Naitwa Fausta nina umri wa miaka 21 naishi Dar nina elimu ya chuo nimesomea secretary nina uzoefu wa mwaka na miezi 6. Natafuta kazi pia usafi maofisini naweza nisaidieni waungwana
Mimi nimeitimu chuo miaka 10 iliyopita yaan 2012 niliamini kujitolea ndio njia sahihi ya kuzingatiwa katika ajira nikajitolea kuanzia 2013 adi 2018 katika taasisi mbalimbali za umma kwa uaminifu...
Wadau, hawa Utumishi wa Umma siwaelewi, unakuta Siku wanatangaza placements za watu kuingia kazini huku wakisema kuwa haya majina yanatokana na watu waliofanya usaili hv karibuni na wa
Habari ndugu zangu,
Hope mko poa na majukumu ya kazi.
Mimi ni mtanzania mwenzenu natafuta kazi ya kuniingizia kipato cha halali iwe ni kwenye kampuni za kitalii au kwenye mashirika yanayohitaji...
Mimi kijana wa miaka 23 npo dar es salam
Natafuta kazi ya udereva mwenye uhitaji niko
Nina ujuzi wa ufundi magari wa miaka 3
Madaraja yangu A A2 B D E
Nina elimu ya kidato cha nne nipia nimesomea...
Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo na makubwa aina yoyote Nina leseni C1,C2,C3,D,E NA NAUJUA UFUNDI VIZURI NA NIMESOMA VETA NANIMEMALIZA KIDATO CHA NNE NANIMEFAULU.
KWA MAWASILIANO...
Habari zenu ndugu zangu,
Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni yenye madaraja yanayoruhusu kufanya biashara ya...
Kwenye sehemu hii ya ajira au kazi za udereva naona asilimia kubwa ni madereva ndiyo wanahangaika sana kuitafuta hii kazi.
Ningepata faraja kuona pia wenye vyombo vya moto nao wakitoa nafasi...
Habarini za asubuhi watu wote wa humu ndani.
Mimi ni mdogo wenu nimejitokeza mbele yenu kuomba ajira yoyote itakayoniwezesha kupatapa kipato halali.
Elimu yangu ni degree katika maswala ya...
Habari wana JF,
Kama kuna boss yoyote mwenye bidhaa zake anaitaji mtu wa masoko na kulipwa kwa kamisheni basi tuwasiliane kszi yoyote ile inayo itaji mtu wa kamisheni basi nicheki WhatsApp...
Naitwa Hussein Masoud,ni clinical assistant (CA),nipo Mwanza mjini katika chuo cha afya na sayansi shirikishi BWIMA kilichokua kikitambulika kama victoria zamani, kwa sasa nimebakisha mwezi mmoja...
Qualification and experience.
-Holder of a Bachelor degree in Project Management, Investment,Business, or any related field. Or equivalent.
-Demonstrated knowledge in Computer Application is a...
Wanatakiwa waelewe, kampuni binafsi inahitaji mtu smati na aliyeiva kweli kweli, ili kuendelea kubaki kwenye nafasi yako; kwa sababu lengo la makampuni ni kutengeneza faida na si hasara. Sasa...
Wakuu kwanini tunaogopana Sana humu ndani wakati sisi ni wananchi wa kawaida kabisa kama wasiojulikana nao wapo humu ndani basi ni wachache hawawezi kutufuatilia watu wote hivyo mnaonaje ukiitumia...
POST: PERSONAL SECRETARY I – 2 POST
POST CATEGORY(S): HR & ADMINISTRATION
EMPLOYER: National Institute of Transport (NIT)
APPLICATION TIMELINE: 2022-01-07 2022-01-20
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ni muhitimu wa kozi ya Clinical Officer (CO) katika chuo flani hapa dar es salam.
Natafuta kazi nina uzoefu wa kazi napatikana Dar es Salam.
Nipo tayari...
HJHI (Henry Jefferson Health Care Initiatives) ni matapeli wa ajira wanaotumia mgongo wa "psychometric evaluation" kupiga hela za wale walio na uchungu wa kukosa ajira.
Kwenye website...
Nitakuwa specific and short, but clear:
Nimeona threads nyingi JF wadau wengi sana haswa waliomaliza chuo kikuu, wakitumia mda mwingi kuomba connection za kazi lakini hakuna mafanikio hata kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.