Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Mlioomba kazi kupitia recruitment portal ya Tz mnipe muongozo mmewezaje kuikamilisha profile maana leo ni siku ya pili nakwama plus profile picture inagoma kuaupload
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu kwa wale tuliomba nafasi za kazi kwa ICT OFFICER II (COMPUTER SYSTEM ADMINISTRATION) ya TRA ,tupeane Nondo . 1. Maswali ya kusoma 2. Pepa huwa zinakuwaje . Karibuni
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Habar za majukumu wana forum kwa majina naitwa Twaha Mussa ninatafuta gari kwa ajili ya taxi yaani Uber Nina account zote Uber na bolt na ziko active kwa yeyote atakaye hitaji dereva napatikana...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari ya leo wakuu, Mimi ni mjasiriamali ambaye nna kampuni inayo jihusisha na utengenezaji wa bidhaa za usafi Ni bidhaa zinazo tatua changamoto ya uchafu na madoa sugu - Stain Remover inayo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni ya udereva ninahitaji gari ili tufanye biashara na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwema wakuu? Napenda kujua juu ya mada hapo juu kama leaving certificates inatolewa na shule uliyomalizia au NECTA.
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Anayehitaji pharmaceutical technician tupeane taarifa hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya tena kama kichwa kinavyojieeleza, TRA wamwaga nafasi za ajira.
4 Reactions
66 Replies
15K Views
Kwanza najua kabisa ukishazaliwa mwanaume jua hakuna wa kukuonea huruma, kwahiyo pambana hadi mwisho! Ila Kuna pale mishe zote zinakwama kila unapogusa Ngoma ngumu. DUH hapa nawaza Leo siku...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Naitaji kazi yoyote tuu ntaifanya nna miaka 22 Naishi dar es salaam.. Naomba connection.. WhatsApp 0786756592
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wapendwa kama kuna aliewahi pata Hili tataizo anisaidie alivosaidiwa Email yangu niliotumia kujiunga na ajira portal iko dis abled means siwez kuitumia je kuna uwezekana ajira portal...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
VACANCY FOR THREE NUTRITIONISTS/HORTICULTURALISTS ADP Mbozi is Non-Governmental Organization operating in the Southern Highlands of Tanzania since 1986. This organization was registered as a Trust...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naitwa Prince, Nina miaka 25, education level ni form four na ujuzi wa mapishi bila vyeti. Kwa yeyote mwenye kujua mchongo wowote ule naomba connection 0676790241
0 Reactions
7 Replies
759 Views
Wasalaam ,kwa Wanajukwaa wote imekuwa ni kipindi kirefu tangu vijana waajiriwe tangu mwaka 2018 ,sasa Tunawaomba Sana mhe waziri Atuangalie vijana tuohitimu mafunzo tangu mwaka 2020 hatujaajiriwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu madereva jaribuni bahati zenu. Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
7 Replies
866 Views
Overview Global Animal Health Tanzania (GAHT), a legally registered NGO that is supported by Washington State University and collaborating partners in Tanzania, serves to manage a broad range of...
1 Reactions
1 Replies
864 Views
Tanapa wametangaza nafasi za kazi 48 kupitia sekretarieti ya ajira Leo. Vigezo ni cheti cha Form 4 na cheti cha JKT au certificate of Basic Technician in wildlife management . VACANCIES...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom