Habarini wakuu,
Mimj kijana wa kiume, muhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mkazi wa Dodoma mjini.
Natafuta kazi yoyote mjini Dodoma itayoweza nipatia mahitaji yangu ya msingi iwe ya taaluma au ya...
Naitwa Aggrey Sylivester natafuta gari kwa ajili ya Taxi za mtandao Uber,Bolt,Ping nk. Nina uzoefu wa miaka 2 ktk kazi hii.Nipo Daresalaam nina Leseni class A,B,C1,C2,C3,D,E
Mawasiliano 0784876619
Habari zenu wana jf
naomba kujuzwa mwenye tetesi kuwa pccb wataita lini coz ndo sehemu pekee tunayoitegemea na kuhusu interview zao huwa zinzkuwaje?
natanguliza shukran zangu!
Natafuta kazi ya farm manager /assistance sehemu yoyote muda wowote .nimesomea kilimo na mifugo (diploma).
Mawasiliano 0627164910
adelickkalala@gmail.com
Kampuni ya Punch company limited
Inatanganza nafasi 500 kwa wachumi, HR, ACCOUNTANT, WATU WA MASIJALA KWA AJILI YA KUPUNCH LAANA ZILIZOKO KWENYE JAMII MAANA UHURU HAWAKUTENGENEZA KITENGO CHA...
Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa kiume natokea mkoa wa Arusha. Ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya Kazi yoyote halali kwa mkoa wa Arusha tupeane. Elimu yangu in Shahada ya Uhasibu na...
Mambo vip wakuu
Kuna project inataka kuanza wiki ijayo inahusu kusambaza ubuyu wa jumla na rejareja mtaani. Kwa ambaye Hana ramani, ramani ndio hiyo hapo. Unapewa target ya mzigo, ukiisha unalipwa...
Urgent requirement
Burque East Africa is currently looking to fill the below vacant position:
1: Sales interns
These should have completed bachelor degree,fresh graduates will be given first...
Natafuta Chef mwenye uzoefu mkubwa waapishi mbalimbali ya mbuzi, kuanzia choma, foil mpaka supu.
Kama ni eneo lako naomba nitumie SMS kwa 0759 819 819.
NB: Kituo cha kazi ni Bunju B na malipo ni...
POST DETAILS.
EMPLOYER: CORIS COMPANY LIMITED
POST: CASHIER
QUALIFICATIONS;
Diploma in Accounts or any related field
Send your CV and Application letter to;
salescoris@gmail.com.
Or bring it to...
Habari wakuu,
Naomba msaada kwa mtu anayezifahamu lobbying firms zinazofanya kazi hapa Tanzania, hasa Dar es Salaam na Dodoma. Na sana sana zile ambazo ziko active kwenye sera mbalimbali.
Asanteni!!
Mimi naitwa Emmanuel Kidasi mwenye umri wa miaka 31 ni fundi umeme, nimesoma elimu yangu ya secondary na kisha kujiunga na nafunzo ya VETA kisha kuhitimu mwaka 2010, nimefanyakazi sehemu...
Habari za wakati huu ndugu zangu, Mimi ni dereva ambaye pia nina uzoefu wa kazi za sales na marketing. Nina leseni ya uendeshaji yenye madaraja D, E, C1,C2,C3,B.
Haiba yangu ni mtu mchangamfu...
Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta mwalimu mzuri aliyebobea katika ufundishaji kwaajili ya kumfundisha mwanangu ambaye mwakani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.