Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku! Lengo la kuandika hapa nikuwaombeni mnisaidie aptitude test ya bank ya TPB huwa inakuaje? Au maswali yake huwa vipi? Maana nimeitwa kwenye interview...
4 Reactions
430 Replies
64K Views
Wanaitakija Mabinti na vijana wenye uwezo wa kutoa Huduma ya Chakula / Hotel Maombi ya kazi : Jinsi ya Kutuma maombi andika balua ya kuomba kazi ukiambatanisha na mawasiliano yako na vyeti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari waungwana naimani wengi tunafaham website ya ajira za serikali ajira portal recruitment sasa mimi nimesajili account yangu ila kila nikijaribu kuapply inaniandikia FAILED kama kwenye hii...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna tangazo la ajira nimeliona Facebook, wanadai ni wakala wa kuwapeleka vijana Canada na Dubai kufanya kazi. Na kwa maelezo zaidi wamedema tutembelee www.immigroup.com. Sasa Wakuu Kuna...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
CONDIC COMPANY LIMITED HIRING SALES REPRESENTATIVES Condic company ltd is a Tanzanian company located at Dar es salaam dealing with importation and distribution of Medical equipment,and hospital...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Hizo sector huwa wanatoa majina kwa ajili ya usahili baada ya mda gani maana nimuda na deadline ishapita lakini bado kabisa hawajatuma Sasa sijui kwanini Na huwa wanata watu kwenye usaihili kwa...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
  • Poll Poll
Umri 26 Jinsia ME Makazi.. Dodoma mjini Nb Nipo vizur kimwili na kiakili kufanya kazi yeyote ile kwa kuagizwa au kujisimamia kwabidii kubwa... Usijali kuhusu kazi unayonipa nipigie 0621568325...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba kujua kama kuna uwezekano wa kupata nafasi ya kujitolea nje ya nchi (mfano Sudan, Congo, Sierra Leone au hata nje ya bara) kama UNVolunteer hata kama ni mara ya kwanza kujitolea. Msaada wakuu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Ndugu Jamaa Marafiki Wajamiii Forum Mi Nikijana Ninae Ishi Dodoma,Elimu Yangu Ni Yakawaida Ya Kidato Cha Sita Ninae Jishughurisha Na Kutafuta Tenda Za Ujenzi Kwa Wahitaji Wakutaka Kueka...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni shahada ya maendeleo vijijini kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine. Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi...
5 Reactions
42 Replies
8K Views
Hi, Mimi ni msichana (23), nina elimu ya kidato cha nne, pia nimesomea Computer Applications Course, nina ujuzi wa kutumia (Ms.Office Package) vizuri. Natafuta kazi ya Office Attendant/...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu kama kuna mtu ana garage au yard anipe mchongo. Nishafanya kazi za garage na nin auzoefu nazo kwa ndani ya nchi na hata kwa nje ya nchi yaani nishakuaga katika kampuni za transit good s...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Habari wanaJF, Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, elimu yangu form four na nimesoma computer. Natafuta kazi ya stationery , secretary , kuuza duka au huduma za kipesa kama M-Pesa, Tigo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jina langu ni Eva Charles Kigahe, Natafuta kazi ya secretary/receptionist/customer care, nina diploma ya secretary & office management, Computer application. Lakini pia najua kusuka baadhi ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naitwa olive elimu yangu ni kidato cha nne na ninauzoefu wa kazi hizo zote mbili Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Ninauzoefu kwenye biashara (Kuuza maduka ya nguo, secretarial works na supermarket) Nina ujuzi wa computer( excel, word and power point) Pia uwezo wa kufanya data collection and analysis by...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar wakuu wa JF Mim ni msichana wa miaka 24 naishi DSM Nina fani ya ukutubi ( librarian) ngazi ya cheti. 1. Ninauzoefu na fani niliyosomea kwa miaka miwili. 2. Ninauzoefu na kazi za stationary...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni msichana ninaelimu ya kidato cha nne nipo kigoma. ninatafuta kazi ya stationary/Secretary / reception ninauzoefu na kazi hizi kwa mda mrefu sana. Pia hata kazi za kuuza bidhaa zozote...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wapendwa mimi nina elimu kidato cha nne. Nimesomea secretary chuo cha msimbazi centre. Nina uzoefu wa kutosha Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom