Mimi ni binti wa miaka 24 nimemaliza shahada ya ualimu nimebobea kwenye kiswahili na history. Natafuta kazi yeyote ile ili nijiingizie kipatata kazi ya kufundisha, supermakert, kuuza duka...
Hi wapendwa, bado cjapata kazi, nimesomea computer baada ya kumaliza form 4, na Nina uzoefu wa kaz za stationary kwa miaka 3, yoyote mwenye uhitaji wa binti wa kazi hizo anisaidie, 0715 917427...
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza natafuta kazi ya records management, office assistant au hata secretary kat ya hizo ninauwezo wa kuzifanya izo kazi.Niko mwanza
Mimi Ni Binti wa miaka 23 natafuta kazi katika maofisi nifanye km secretary,receptionist au office attendant Nina experience kama office attendant miaka 4. Tafadhal mwenye connection naomba...
Nina diploma ya records management
Pia nina uzoeefu wa kazi ya secretary
Pia nina uwezo wa kutumia computer vizuri
Naomba mwenye uwezo wa kuniajiri kwenye kampuni yake au kuniunganisha sehemu...
Habari wanajukwaa, natafuta kazi nina Diploma ya Takwimu, nina ujuzi wa computer, pia naweza kufanya kazi kama secretary, receptionist hata cashier.
Msaada wenu tafadhali
Sent using Jamii Forums...
Hi,
Mimi ni mwanamke wa miaka 35 naishi dar ni mlemavu wa miguu ni (disability) nina uzoefu wa zaidi ya miaka kumi kwenye kazi za Receptionist, Customers service, Switch board operator, Safari...
Mimi ni binti wa miaka 26 kiwango changu cha elimu ni 4m 4 failure but I can speak good English and writing. I have work experience as receptionist, customer care service, secretary and waitress...
HABARI WANA JF,
Natafuta kazi ya secretary au data entry nina uzoefu wa kazi izo nilishawahi kuwa secretary mahali na kuwa data entry katika hosptal kwa kuingiza fomu za bima.
Elimu yangu nina...
Utawatazama waajiriwa wake, wengi wanakuwa na afya nzuri, uso na mwili umetakata, wana sura za furaha, wana magari mazuri haya makubwa makubwa, wanakuwa na furaha ya kumuhudumia mteja n.k
Lakini...
Naitwa Isaya Joseph Natafuta kazi yoyote ukuweza kujikimu kimaisha. Elimu yangu ni Form Four
Kazi nilizowahi kuzifanya awali ni kama ifuatavyo-:
Stationary miezi 6
Mashine za kusaga nafaka...
Ni mengi nimeyapitia hapo kati, maana walitokea wengi, wakasema mengi
Wote walisema kwa kubahatisha, huku wakijipa uhakika na kujiaminisha wao kwa wao kuwa mimi ni 'Tapeli'.
Sawa, yawezekana...
Wakuu, naomba mnisaidie atakaesikia kazi ya ualimu kwenye shule za sekondari mwalimu anaitajika. Naomba anisaidie.
Nafundisha masomo ya biashara. Book keeping na commerce. Sana mikoa ya...
At Vodacom, we’re working hard to build a better future. A more connected, inclusive and sustainable world. As a dynamic global community, it’s our human spirit, together with technology, that...
POST: ENGINEER II - CIVIL – 1 POST
POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER: National Housing Corporation(NHC)
APPLICATION TIMELINE: 2021-10-20 2021-11-02
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND...
Job Title - Head, Finance & Administration
Reporting Line - General Manager
Job Summary
Oversee the development and execution of an effective financial strategy to achieve optimal return on...
NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail, business, corporate and investment banking, wealth management products and services...
Receptionist – Tanzania
Job #:
req13440
Organization:
World Bank
Sector:
Administration/Office Support
Grade:
GA
Term Duration:
3 years 0 months
Recruitment Type:
Local Recruitment...
Habari wanajukwaa mm ni kijan miaka yangu ni 27 natafuta kaz yeyote ya mashambani ili niweze kujikim kimaisha.
1. Kusimamia shamba,mazao ya nafaka matunda
2. Kusimamia miradi ya ufugaji, km vle...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.