Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Overview Air Tanzania Company Limited (ATCL) is implementing its five years Corporate Strategic Plan (2017/2018-2020-2021) which includes the network expansion in local, regional and international...
1 Reactions
0 Replies
931 Views
Mwepesi kujifunza Elimu kidato cha sita Kazi yoyote halali Nina ujuzi wa kompyuta Nina ujuzi wa kilimo na ufugaji
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Madibira AMCOS inahitaji mitambo ya ujenzi wa bara bara. Mitambo hiyo ni excavator, tipa, boza, rola(sindilia) na greda. Mkodishaji awe na uwezo Wa kutoa risit za EFD na awe na leseni ya...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakubwa mliopo TPA hapa DSM. Ndugu yenu nimekwama nahitaji connection ya kazi za kibarua zile za malipo per day. Hata zile za Ukuli. MKONO Uende kinywani. Kitambulisho cha Temporary post za suma...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi kijana wa miaka 23 npo dar es salam Natafuta kazi ya udereva mwenye uhitaji niko Nina ujuzi wa ufundi magari wa miaka 3 Madaraja yangu A A2 B D E Nina elimu ya kidato cha nne nipia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mgahawa unaitwa upcountry Kitchen taste upo mweka - Kilimanjaro , unatangaza nafasi za kazi kwa wahudumu na wapishi wa kike. Waombaji wawe wakazi wa Kilimanjaro , awe msafi, anayejituma...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Maneno 500 tu. Njoo inbox mwenye shida na elfu 10. Andika kwa kawaida tu hata hapahapa waweza kuandika paragraph moja tu inatosha kabisa. __________________________________
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Haiya sasa karibuni vijana wenye sifa tajwa hapo kwenye Tangazo halijachakachuliwa wala nini... Ooh sijui tayari watu walishapatikana tangazo linapostiwa kutimiza wajibu, alafu wengine Tz...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mfamasia nipo Morogoro, nahitaji kupata famasi ya kusimamia ndani ya Morogoro. Mawasiliano: 0768320534
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama maada hapo juu inavyosema nimeitwa kwenye interview TARURA kada ya Procurement naomba mwenye ufahamu wa kujua huwa interview zao zipoje? Naomba mnisaidie
1 Reactions
5 Replies
2K Views
TAHA is an apex private sector member-based organization mandated to develop and promote horticulture (flowers, fruits, vegetables, spices, herbs and horticultural seeds) in Tanzania. TAHA’s goal...
1 Reactions
2 Replies
709 Views
Habari Wadau, Kijana mwenye uwezo wa kufanya Intern ya Graphic and Design Anicheki wakuu, Kuna fursa imejitokeza au atume mail kwa kassa.mwakambaya18@gmail.com Ahsante
1 Reactions
1 Replies
572 Views
Naomba kujua format za interview TUCTA zikoje?
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Naitaji Agromist kwa kazi ya muda mfupi ya kuset bustani ya mboga mboga nyumbani kwangu Bunju B. Atalipwa kwa kazi hii kwani ni ya muda mfupi.
0 Reactions
1 Replies
536 Views
Kama kuna mtoto wa kiume aliyepo Dar anicheki PM. Ni kazi ya siku 1 tu namtuma Kibaha na Mbagala posho elfu 15. Kwa maelezo njoo PM. Ni kazi inahitajika kufanyika kesho Jumatano. Ahsanteni...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Habari wakuu Kijana ambae ni fundi mzuri umeme wa magari anapatikana kibaha anatafuta kazi msaada wenu kwa mwenye kuweza kusaidia 🙏
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Nina umri wa miaka 28 ninaishia Bagamoyo maeneo ya Mapinga shule ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 7 na Secretary hivyo ninaouzoefu mkubwa...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Hi kwa kijna yoyote awe wakike au wa kiume mwaminifu aje PM. Kazi: kijana wa kuuza duka la vifaa vya simu, awe mwanza mjini Kama upo tayari njoo tuzungumze
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari za mchana huu wana jukwaa,nina kampuni nilisajili mwaka jana mwezi wa kumi,lengo ni kushughulika na tenda za kulisha chakula katika makampuni na viwanda mbali mbali ndani ya nchii hii. pia...
0 Reactions
1 Replies
724 Views
Back
Top Bottom