Planet Open School ni taasisi inayochojihusisha na utoaji wa elimu kwa wale wanaojiendeleza kielimu.
Taasisi hii inahitaji mwalimu wa biology na chemistry mwenye uwezo wa kufundisha kuanzia...
Naitwa Pastory Augustino
Nipo morogoro
Naomba kama kunamtu anafahamu sehemu yenye uhitaji wa mwalimu wa masomo tajwa anisaidie aisee,
Level yangu ni diploma
Ndugu zangu habari za humu ndani,jina langu halali naitwa kelvin, nimehitimu chuo mwaka huu ila uku mtaani sion mwelekeo kabisaa, leo nimekuja natafuta kazi ndugu zangu ikiwa ni uwakala wa...
Tangazo hilo kama linavyojieleza wapendwa ninahitaji nafasi ya kazi.
Nina miaka 28Yrs...mkazi wa Kahama Shinyanga...Nina ERP....Uzoefu upo wa kutosha tu kama miaka 5 tokea nimalize chuo...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada,
Wakuu namtafuta mtu yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata ajira
Kama unao uwezo huo tuwasiliane PM au kupitia...
salam kwenu wana jukwaa.
Nimeitwa usaili utumishi next week kada ya ICTO II post ya software developer HESLB.
Hii ndo interview yangu yakwanza utumishi nlikua naomba nimepewe hints wapi...
Anaitajika kijana Mwenye uzoefu wa Kunyoa
Sifa za Muombaji
Awe anauzoefu wa mwaka mmoja au zaidi,
Awe anauwezo wa Kuzunguza ,Kushawishi, na Kuwasiliana Vizuri na Wateja,
Awe Mvumilivu na...
Habari wakuu,
Nimekuja mbele zenu kuomba msaada wa ajira. Mimi ni kijana wa miaka 23, nina astashaada ya ICT lakini natafuta kazi yoyote ya kwenda na kurudi ( kasoro kazi ya kuuza bar tu ),
Pia...
Habari ndugu zangu naomba kufahamu hii casino naweza vipi kuapply kwa anaejua anisaidie nahitaj kuapply nimesikia kuna nafas
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Position: Project Assistant - Integrating rights based approach in sustainable natural resources management
Vacancy #: 5348
Unit: Tanzania - Programme
Organization: International Union for...
Hello salama wakuu natafuta vijana wenzangu tuunde kikundi kwa ajili ya kufanya shughuli za ufugaji kama Kuku au Nguruwe n.k , kwa walioko mkoani Mbeya ni bora zaidi ."tukiwa na umoja ni rahisi...
vipi wadau wa jf...vipi kuna aliyetumiwa meseji au kupigiwa simu kufanya usahili wa oral kesho jumatatu kwa waliofanya written maana tunaona kimyaa au tayari waliofaulu washaitwa?
Jinsia: Ke
Natafuta kazi ya kufanya usafi wa aina zote maofisini, majumbani, lodge, kwenye makampuni, supermarket.
Elimu: darasa la saba
Uzoefu: Ninao wa kutosha katika hii kazi
Mahali...
Overview
The Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited (KLICL) previously known as Karanga Leather Industries Company Limited is established as a Joint Venture company between...
SEEKING FOR CONSULTANCY
TOR for the Water, Sanitation and Hygiene Needs Assessment for Tumbatu community in Zanzibar
Background:
SOS Children’s Villages Zanzibar is Local Non- Government...
Habari wakuu Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 nipo dar
Kwa miaka 10 sasa nimekuwa nikijishughulisha na Kazi za ukarani (tally clerk),operation manager, c&f agent na mtunza...
Kama wahenga walivyosema kwenye miti huwa hapakosi wajenzi Mimi ni kijana umri wangu miaka 25 natafuta kazi jamani ya Aina yoyote elimu yangu ni kidato Cha sita ni kijana muaminifu na mtiifu pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.