Haya wale waliosoma Mass communication na kada mlingano.
Jaribu bahati yako hapa, Ubalozi wa Uingereza. Nchini Tanzania
Communications Officer B3 (03/21 DAR) - FCO Local Posts...
Wasalaam....
Kijana umri miaka 27, mrefu nina Shahada ya kwanza, Nimepata mafunzo ya awali ya kijeshi naomba mwenye kuhitaji personal bodyguard asisite kunitafuta.....
Wasifu wangu nitakupa...
Habarii Zenu Ndugu Zangu,
Kwa majina Naitwa Mwalimu Francis Mwakilima Nimwalimu Wamasomo Ya Kiingereza Na Fasihii Ya Kiingereza (Literature) Nimakazii Wa Mkoa Wa Mbeya nina Uwezo nzuri...
Nafasi za kazi kwa watakaopenda kuwa wauzaji wa bidhaa za Computer/ Electronics.
1. Muajiri angependa wauzaji ambao ni wanawake.
2. Elimu kuanzia kidato cha nne.
3. Mahali ni Dar es Salaam.
4...
Habari zenu,
Nipo kwenye kipindi cha stress sana ajira za uwalimu mbioni kutoka jamani jamani tusaidiane mwenye connection. Natafuta Mimi naomba msiniache tafadhal namimi huu mwaka nibahatike...
Programme Manager – Sexual and Reproductive Health and Nutrition at Embassy of Ireland September, 2021
Embassy of Ireland
Dar es salaam
The goal of the Embassy of Ireland is to promote Ireland’s...
Receptionist
Position: Receptionist
Description:
This is a full-time job. Applicant must be young Tanzanian lady, have a friendly and outgoing personality, and have the ability to work well with...
ABOUT OUR CLIENT
Our Client is a Company that aims at providing innovative, sustainable and cost-effective engineering solutions to its clients in the AMIO (Africa, Middle East and Indian Ocean)...
Overview
Kilombero Sugar Company Limited, the largest producer of sugar in Tanzania operating cohesively with Illovo Distillers Tanzania Limited (IDTL) and a member of Illovo Sugar Africa Limited...
Habari za asubuhi wadau,
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 nayejaribu kupambana ili walau nipate tonge la kila siku. Kwa sasa nipo idle tu sina kazi kwa yeyote ambae ana mchongo wa kazi za ulinzi...
Ni kijana Mtanzania,mwenye umri wa miaka 33 diploma ya uhasibu na fedha (diploma in accounting and finance) nina uzoezi wa miaka mitano kama mhasibu katika AMCOS mojawapo nchini tangu mwaka 2016...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 nimemaliza chuo kikuu 2015, nina shahada ya elimu na saikolojia yaani(bachelor of education psychology ). Nili major saikolojia na nika minor geography though A...
Habari za mida hii?
Kama kuna fundi ama mtu anayewafahamu mafundi wa uezekaji wa nyasi za kisasa kama zinavyoonekana kwenye picha tafadhali aniunganishe nao,piga 0175270707
Natafuta mmiliki wa gari ambae ataruhusu gari lake lifanye kazi ya ubebaji wa abiria kwa njia ya mtandao uber, bolt nk iwe kwa mkataba au hesabu ya kawaida dereva nipo hapa na account zote zipo...
Anaitajika dereva mzoefu wa kuendesha magali ya mitandaoni yaani Uber na Bolt gari ipo inausajili kila kitu kiko sawa lesen ya latra (raid hailing) , card ya gari ni biashara, bima ni ya biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.