Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Rafiki yangu anahitaji kazi katika kiwanda cha aina yoyote kilichopo Arusha mwenye connection amsaidie, akimfanikishia ipo laki 100000/cash akifanikisha kupata kazi kiwandani,
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Wakuu naandika nikiwa nahitaji connection ya kazi ya ualimu katika ngazi zote za primary na secondary katika masomo ya Basic mathematics na Geography. Nina uzoefu wa kufundisha secondary kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wanajukwaa,hapo awali niliweka thread yenye kuonesha nia ya kubadili kituo cha kazi kwa fani hii hii ya uhasibu kwakuwa mahala nilipo mkataba unakaribia kuisha,kuna bwana mmoja humu...
2 Reactions
79 Replies
5K Views
MUHIMU: MAADA INALENGA KUTEGEMEA KOZI ILI KUAJIRIWA (SIO KUJIAJIRI) Kozi hizi ni -ualimu (education) -Procurement na Logistics -Marketing -Petroleum Chemistry -Business Administration - Marketing...
6 Reactions
171 Replies
37K Views
Strategic Information Director Job no: 495560 Position type: Regular Full-Time Location: Tanzania - Dar es salaam Division/Equivalent: Tanzania | School/Unit: Strategic Information / Monitoring &...
0 Reactions
1 Replies
664 Views
Habari wakuu, Naomba msaada kujua viwanda vinavyotoa ajira na kibarua kwa Dar na Pwani Viwanda vyovyote vile kwa anaejua anisaidie data
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wanajukwaa,hapo awali niliweka thread yenye kuonesha nia ya kubadili kituo cha kazi kwa fani hii hii ya uhasibu kwakuwa mahala nilipo mkataba unakaribia kuisha,kuna bwana mmoja humu...
0 Reactions
4 Replies
733 Views
INVITATION FOR UNIFORM PRODUCTION TENDER Precision Air Services Plc., is a fast growing private Tanzanian airline, which operates in partnership with Kenya Airways, with its strategies to expand...
0 Reactions
1 Replies
538 Views
Senior Auditor Audit · Dar es Salaam, Dar Es Salaam INNOVEX is a Pan-African advisory and assurance services firm providing professional services in Sub-Saharan Africa with a focus in Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Hygiene and Sanitation Officer - KIHEWA Project JOB PURPOSE Ensure KIHEWA Program technical support, work plan activities implementation and operations to achieve the intended program results...
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Customer Experience Senior Airport Services Agent - Zanzibar Tanzania - TZ Location Zanzibar - ZNZ, Tanzania - TZ Category Cargo & Airport Operations Job Id 2100009K About the role We are...
0 Reactions
0 Replies
511 Views
Habari zenu ngugu zangu poleni na majukumu ya kila siku ni imani yangu kwamba wote ni wazima wa afya. Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu ni kwamba shida yangu kuu nahitaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za majukumu ya Kila siku. Mimi ni dereva mwenye leseni daraja C naomba mwenye gari na yupo tayari tufanye kazi kwa upande wa tax za mtandao Basi tuwasiliane. Nimefanya hii kazi kwa miaka...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari ndgu zangu, Kijana wenu hapa nimekuja kuomba msaada kwenu. Kwasasa sina mtaji hivyo nimeamua kuliko kukaa bure tu na kusubiri vya kupewa nimeona bora nijikite huko VIWANDANI. Hivyo basi...
1 Reactions
25 Replies
9K Views
Nmefanya Usaili Finca J4 ila mpaka Leo siku ya 5 naona Kimya au ndio ule msemo wa ukiona manyoya ujue kashaliwa😂😂😂 Ila nilifanya vizuri nina uhakika Labda kama kuna mtu yoyote anaefahamu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndg, zangu niko hapa dar natafuta kazi ya udereva kwa mtu yoyote ambaye anahitaji dereva au kukawa na mtu anaye mjua anatafuta dereva anisaidie namba niwasiliane nae naomba mnisaidie kwa hili
0 Reactions
0 Replies
805 Views
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kazi kumpata HOUSE GIRL kuliko mtu mwenye MASTERS au BACHELOR. Hii imetokana na ongezeko la idadi kubwa ya vijana wanaomaliza vyuo kila mwaka kutoka vyuo mbali...
29 Reactions
307 Replies
22K Views
KNCV Tuberculosis Foundation is looking for a fulltime Finance Officer Duty station: Dar es Salaam, Tanzania KNCV Tuberculosis Foundation KNCV Tuberculosis Foundation (KNCV) is one of the...
0 Reactions
0 Replies
448 Views
Back
Top Bottom